Naomba kuelimishwa faida na hasara za Ujenzi wa Bwawa la Nyerere mbugani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,603
141,421
Mungu wa mbinguni awabariki nyote

Naomba kuelimishwa faida na hasara za Ujenzi wa Bwawa la Nyerere mbugani.

Niko hapa kujifunza maana dawa zote ziponyazo zina side effect!
 
... kwanini hukushauri mapema lijengwe Kigamboni au Mtumba ulipo mji wa serikali?
 
Mungu wa mbinguni awabariki nyote

Naomba kuelimishwa faida na hasara za Ujenzi wa Bwawa la Nyerere mbugani.

Niko hapa kujifunza maana dawa zote ziponyazo zina side effect!
SUKUMA GANG mnahangaika mbona Hamkumuuliza MAGUFULI?
 
Back
Top Bottom