Naomba kuelimishwa dola na chama Ni kipi chenye nguvu na akili zaidi?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,415
30,925
Naomba kufahamishwa kati ya dola na chama Nani Ni more professional? Na je Nani Yuko juu ya mwrnzake? Kwa maoni yangu kwanini dola Mara nyingi anaendeshwa na chama? Kwanini chama kinatawala dola wakati dola ina kanuni sheria taratibu na professionalism?
 
Mfano

Dola ana sheria isiyo na macho na isiyopindishwa Mara nyingi Sasa kwanini CHAMA AKISHINDWA UCHAGUZI ANAMSHURUTISHA DOLA MWENYE SHERIA KANUNI NA TARATIBU azigeuke?
 
Hivi chama AKISHINDWA UCHAGUZI na akamuamrisha dola amlinde hapa mbulula ni chama au dola?
 
Hii ni Sawa na wazazi na mtoto...ata kama Una Elimu na utajiri Mkubwa, Kwa wazazi lazima ukae.. Chama ndicho chenye mandate ya kusimamia Dola.
 
Kw
Hii ni Sawa na wazazi na mtoto...ata kama Una Elimu na utajiri Mkubwa, Kwa wazazi lazima ukae.. Chama ndicho chenye mandate ya kusimamia Dola.
Kwahiyo mtoto anaweza kuwapindua wazazi? Na je uwepo wa wazazi unategemea mbeleko ya mtoto?
 
dola kulazimishwa kulinda chama ni ukosefu wa uadilifu kwa kiapo anachopata, kimsingi dola hupaswa kutokuwa na upande wowote katika mchakato wa kupata chama kitakacho unda serikali, state arms should be neutral.
 
Kw
Kwahiyo mtoto anaweza kuwapindua wazazi? Na je uwepo wa wazazi unategemea mbeleko ya mtoto?
Inawezekana na kuna baadhi ya makabila watoto wanatembea na wazazi wao..ni Kwa Imani potofu au Tamaa.
 
Back
Top Bottom