Naomba kuelezwa zaidi juu ya Mashine ya kupandia mahindi

MKAKA HALISI

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
624
1,234
Habari wana janvi nimesikia kuna machine inayo weza kurahisisha upandaji wa mazao kama mahindi, karanga nk je kuna mwenye taarifa sahihi juu ya hili na wapi zinapatikana bila kusahau na bei pia ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1551331743009.png
 
Nenda Farm Base karibu na club ya wazee Ilala, au mbele ya hospitali ya Amana wanazo.
Tel :+255 22 2861857 +255 754 200300.
 
Back
Top Bottom