Naomba kuelezwa kuhusu kozi ya 'Health System Management' na chuo gani kinaifundisha

dranx

Senior Member
Dec 31, 2018
190
84
Habari wana jamvi

Naomba msaada kuelekezwa juu ya HEALTH SYSTEM MANAGEMENT Na ni vyuo gani vinatoa haya mafunzo.

Natanguliza shukrani zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
samahanini hii kozi inahusu vitu gani na ukishasona unakua nani?
 
Back
Top Bottom