Naomba kuelezwa kuhusu Kampuni ya Chemonics International Inc

GoodDady

Member
Mar 28, 2019
91
42
Naomba anaeifahamu kampuni ya CHEMONICS INTERNATIONAL INC anipe ABC'S zake kuhusu mazingira ya kazi, mishahara, mikataba etc.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom