Hakuna umri maalumu kwenye hilo. Mimi nishashuhudia mimama mizima iliyoolewa inachiti. Kila mara haikosi kwenda kwenye mabaa. Inakunywa, inalewa halafu inaanza kufanya mambo ya ajabu.
Nafikiri NN amekujibu vyema
hakuna mu9da maalum ni yeye aamue sasa basi haya mambo yananitosha na atulie maana ukisema umri gani basi waliiolewa na wenye ndoa zao wasingefanya haya na wale wenye umri mkubwa
nafikiri kutulia ni tabia ya mtu binafsi, japo navosikia ukioa msichana mdogo sana uwezekano wa kucheat ni mkubwa sana sababu kuna life aliiruka na kuwahi kuolewa au kuishi na bwana
Mwanamke anatulia pale unapomfikisha kileleni na pochi likiwa lina afya nzuri basi kunoga tu dunia nzima utaiyona ya kwako, na hata pesa za kwenda outing peke yake au na marafiki zake utampa bila kuwa na wivu kwamba watu watamtolea mimacho, wewe unapoa zako home unaperuzi JF TU huku unanowa mpini kumsubilia.
Mimi pressure hizo zilikwisha miaka mingi nyuma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.