Naomba kueleweshwa namna ya kufanya manunuzi ya Black Friday

MBITIYAZA

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
14,951
26,048
Jamani nahitaji kujua kama kuna mtu amewah fanya hizo shopping za BLACK FRIDAY kwa hapa TANZANIA ! sina uelewa sana na hii black friday mwenye uelewa nayo pls nifungueni macho jaman
!

Wasaalam Ng'wana Mbitiyaza
 
Mimi nimewahi kufanya manunuzi kupitia hiyo black friday ama kikuu na alhamdulillah nimepokea mzigo wangu sema kusubiri ndio kama huna moyo unaweza hisi hela yako imekwenda
 
Mami s hii app ya kikuu?

najua wapi sasa msukuma mie !nilielezwa huwa kunakuwa na blakc friday kila mwaka november ijumaa ya mwisho wa nov !naskia km kitu kinauza 1m unaweza uziwa kwa 75%OFF ! na kuna sites zingine wanafanya had 5%OFF ! uwii msukuma mie nimedataa !sasa nataka kufaham km ni kweli na sio kunakupigwa hapa
 
Mimi nimewahi kufanya manunuzi kupitia hiyo black friday ama kikuu na alhamdulillah nimepokea mzigo wangu sema kusubiri ndio kama huna moyo unaweza hisi hela yako imekwenda

ulisubiri kwa muda gan !mie nimewah agiza machine fulan nje ilichukua miez 3 !had nikakata tamaa !sasa sijui !
 
najua wapi sasa msukuma mie !nilielezwa huwa kunakuwa na blakc friday kila mwaka november ijumaa ya mwisho wa nov !naskia km kitu kinauza 1m unaweza uziwa kwa 75%OFF ! na kuna sites zingine wanafanya had 5%OFF ! uwii msukuma mie nimedataa !sasa nataka kufaham km ni kweli na sio kunakupigwa hapa
Yeah ndio hiyo hiyo inaitwa kikuu
 
ulisubiri kwa muda gan !mie nimewah agiza machine fulan nje ilichukua miez 3 !had nikakata tamaa !sasa sijui !
Screenshot_2017-11-16-20-02-19.png
Screenshot_2017-11-16-20-02-15.png
jana ndio wamenipigia sim kua mzigo ushafika bahat mbaya nimesafiri tukawasiliana na wakala mwenye mzigo wangu ananitunzia had nifike
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom