Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiri nione watu wanaanzia wapi kuchangia hii mada. Siondoki hapaHahaha we ndo umenichekesha
Mami s hii app ya kikuu?
Mimi nimewahi kufanya manunuzi kupitia hiyo black friday ama kikuu na alhamdulillah nimepokea mzigo wangu sema kusubiri ndio kama huna moyo unaweza hisi hela yako imekwenda
Yeah ndio hiyo hiyo inaitwa kikuunajua wapi sasa msukuma mie !nilielezwa huwa kunakuwa na blakc friday kila mwaka november ijumaa ya mwisho wa nov !naskia km kitu kinauza 1m unaweza uziwa kwa 75%OFF ! na kuna sites zingine wanafanya had 5%OFF ! uwii msukuma mie nimedataa !sasa nataka kufaham km ni kweli na sio kunakupigwa hapa
Baby unataka kuagizia kitu gan basohh sawa
ulisubiri kwa muda gan !mie nimewah agiza machine fulan nje ilichukua miez 3 !had nikakata tamaa !sasa sijui !
Yeah na hua wanauza vitu cheap sanaasante !na hzo percentage huwa ni kweli?
Kila la heri mama uwe na subira tu maana nilichoagiza ni kitu kidogo lakini kimenifanya nisubiri mwezi mzimasafi sana aisee !mie ni mgonjwa wa vyombo jaman !ngj nijipige for food warmers!lol
Sim kwa kweli niliona tecno tu labda ujaribu kusearch this time nataka niagize smartwatch vyombo vya ndani sasa? Nafuu mnoahhaha ahsante ! simu je? nazo zimo?