Naomba kueleweshwa machache kuhusu TAKUKURU

KAGAMEE

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
3,880
4,508
Habari zenu wakuu!
Hii idara ni pana sana ila naomba kujua kama mtu anaweza kuajiriwa huko bila kupitia jeshi?Vp utaratibu wao wa kuajiri upoje?

Wana vitengo kama ilivyo jeshini au ni vipi ndugu zangu?

Shukrani sana
 
Back
Top Bottom