Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

Mkuu,naomba kufahamu kitu kimoja.
Hv ktk processes za kuappeal kunawag na Yale mambo ya kuprint form.. Then kusm- certify vyeti na kwa mahakama au inakuwaje hapo.. Maana nikifikiria ule mlolongo kipindi naomba ndo nirudie tena vile... Mhhhh sitaki kwa kweli bora niache
Hapana mambo mengi .kuprint ni page 3 tu ambayo moja ndo uta sign na kupeleka kwa dean wa chuo .then utai scan na kui submit mtandaoni basi....ku certify na muhuli ni kama uli upload chet ambacho akijawa certified ndo uta takiwa ufanye ivyo na kama una document yoyote utakayo taka kuweka ku support maombi yako ndo itabidi uweke muhuri wa mahakama kuongezea uzito.
 
KTK KIPENGELE CHA REGSTATION NUMBER NAFAYEJE?
Chuo gani? Admission Letter si huwa zina Registration Number? By the way, hata hivyo lazima ufike chuo na uwe registered maana ili uappeal Dean of Students wa chuo chako anatakiwa kufanya endorsement kwenye form yako..
 
UTARATIBU WA KUKATA RUFAA KWA WALIOKOSA MKOPO AU HAWAJARIDHIKA NA ASILIMIA WALIZOPATA
kwanza kabla hawajafungua dirisha la rufaa (appeals window) bodi ya mkopo HESLB lazima watenge kiasi cha fedha kwaajili ya hao watakao kata rufaa, kwahiyo ni watoe wasiwasi katika hilo.

utaratibu uko kama ifuatavyo:–
1. Ingia katika akaunt yako kupia olas. Heslb. go. tz

2. nenda kwenye sehemu iliyoandikwa allocation status bofya hapo kisha utaletewa sehemu ya kufungua akaunt yako,
≈form IV index no
≈password
≈security code
ukiingiza taarifa hizo basi itafunguka.

3. nenda kwenye sehemu iliyoandikwa appeal now kisha click hapo itafunguka na utaanza hatua za kukata rufaa kwa kufuata maelekezo.

4.bofya na jisajili kwa kujaza vipengele vyote sehemu yenye alama "x" yenye rangi nyekundu upande wa kushoto.

5.kisha kamilisha fomu yako kwa kuiprint ukishaijaza vipengere vyote hivyo.

6.ukishaiprint fomu yako unatakiwa kusaini fomu yako katika ukurasa wa tatu (page 3)

7.baada ya kusaini fomu yako katika ukarasa wa 3 basi unatakiwa kuituma tena /kuaplod fomu yako katika ukurasa wa 3 kwanjia ya mtandao

8.wasilisha fomu yako submit kisha unatakiwa kubaki na nakala yako kama kumbukumbu yako.

suala la kukata rufaa hakuna ada wala gharama yoyote , tembelea SIPA yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna fomu inayotakiwa kusainiwa Chuoni na hakuna kipengele cha kujaza nambari ya Usajili ya chuo Mwanafunzi alichoripoti?
 
Oy Dean of students ana weka wapi hiyo endorsement ? Mbona hamna sehemu hiyo .. kuna yeyote aliepata hiyo endorsement kutoka kwa Dean of students wake ?
 
Sasa iv wameondoa io ww unasaini then una upload
𝑚𝑎 𝑟𝑒𝑔𝑖𝑠𝑡𝑟𝑎𝑡𝑖𝑜𝑛 𝑛𝑎𝑚𝑏𝑎 𝑛𝑖 𝑙𝑎𝑧𝑖𝑚𝑎 ?? 𝑀𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑢 ℎ𝑎𝑡𝑎 𝑙𝑎𝑘𝑖 𝑚𝑏𝑖𝑙𝑖 𝑧𝑎 𝑘𝑢𝑙𝑖𝑝𝑖𝑎 𝑎𝑑𝑎 ℎ𝑎𝑡𝑢𝑛𝑎
 
SYSTEM YA KU APPEAL LOAN BOARD SIO RAFIKI KABISA KABISA AISEE:
Kuna sehemu pameandikwa ADMISSION DETAIL UKIINGIA TU HAPO INAKUTAKA UJAZE MAELEZO YAFUATAYO
Chuo ulicho chaguliwa
Course ulio chaguliwa
Baada ya hapo kuna kipengele kinsema "SELECTION" hapo ndio kwenye shida, wengi udhani kuwa ni selection ya kuchaguliwa chuo kama selecion ya 1, 2 au ya 3 na ukisha chagua selection TU Basi system inajifunga kabisa na haikupi option ya ku-edit kabisa, iyo selection ukisha ichagua tu inajiandika mwaka, yaani kama ulidhani unaweka selection ya pili, basi inaenda kujiandika 2 year of study, kuna mtu alikuwa anaomba MD na amechaguliwa selection ya 3, tulipofika sehemu ya selection tukaweka 3, ikajiandika 3 year of study na system inajifunga haikupi option ya ku edit

kwenu uko vipi wakuu kuhusina na hii kesi.
 
Kumbe kuna masuala ya barua aisee tayar nishamfelisha dogo,nmemwambia we andika sababu zako alafu uende kwa mtendaji ukatie mhuri then kaitume huko shughuli itakuwa imeisha
 
SYSTEM YA KU APPEAL LOAN BOARD SIO RAFIKI KABISA KABISA AISEE:
Kuna sehemu pameandikwa ADMISSION DETAIL UKIINGIA TU HAPO INAKUTAKA UJAZE MAELEZO YAFUATAYO
Chuo ulicho chaguliwa
Course ulio chaguliwa
Baada ya hapo kuna kipengele kinsema "SELECTION" hapo ndio kwenye shida, wengi udhani kuwa ni selection ya kuchaguliwa chuo kama selecion ya 1, 2 au ya 3 na ukisha chagua selection TU Basi system inajifunga kabisa na haikupi option ya ku-edit kabisa, iyo selection ukisha ichagua tu inajiandika mwaka, yaani kama ulidhani unaweka selection ya pili, basi inaenda kujiandika 2 year of study, kuna mtu alikuwa anaomba MD na amechaguliwa selection ya 3, tulipofika sehemu ya selection tukaweka 3, ikajiandika 3 year of study na system inajifunga haikupi option ya ku edit

kwenu uko vipi wakuu kuhusina na hii kesi.
Binafsi nimeelewa hv:- wanahitaji utaje mda(duration) ya kozi husika kama miaka mi3, 4 au 5..
Ndo iko hvyo.. Then kuna sehemu wanauliza sababu zinazokpelekea uappeal kama una matatizo ya kiafya, mzazi mlemavu, umepoteza mzazi au ulidhaminiwa masomo yako ya awali BUT kumbuka kila kipengele utakachochagua utaambatanisha na uthibitisho wa PDF..
Pia kuna other reason, hapa unaweza kutoa maelezo kwa barua kwann umeshindwa kujilipia ada na kuamua kukata rufaa. Sehemu hii unaweza kumtumia mwenyekiti wako wa mtaa au kjiji akukusignia na kukugongea mhuri, binafsi niweweka barua ya mkuu wa chuo ambayo emeelezea hali yangu ya kiuchumi ili mambo yasiwe mengi..
 
Yaaan kwenye mishe za kuappeal hapa nimeelewa kwanini zile documents tulizojaza kipindi tunaomba mkopo Walisisitiza tuzitoe copy then tubaki nazo kama reference. Uhalisia ni kwamba:- kama huna/umepoteza zile reference copy utashindwa kujaza tena hv vipengele vinavyohitajika.
 
Binafsi nimeelewa hv:- wanahitaji utaje mda(duration) ya kozi husika kama miaka mi3, 4 au 5..
Ndo iko hvyo.. Then kuna sehemu wanauliza sababu zinazokpelekea uappeal kama una matatizo ya kiafya, mzazi mlemavu, umepoteza mzazi au ulidhaminiwa masomo yako ya awali BUT kumbuka kila kipengele utakachochagua utaambatanisha na uthibitisho wa PDF..
Pia kuna other reason, hapa unaweza kutoa maelezo kwa barua kwann umeshindwa kujilipia ada na kuamua kukata rufaa. Sehemu hii unaweza kumtumia mwenyekiti wako wa mtaa au kjiji akukusignia na kukugongea mhuri, binafsi niweweka barua ya mkuu wa chuo ambayo emeelezea hali yangu ya kiuchumi ili mambo yasiwe mengi..
Kijana umeelewa vibaya ku appeal lazima uwe registered chuoni kwanza
 
Back
Top Bottom