Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 10,089
- 21,688
Hapana mambo mengi .kuprint ni page 3 tu ambayo moja ndo uta sign na kupeleka kwa dean wa chuo .then utai scan na kui submit mtandaoni basi....ku certify na muhuli ni kama uli upload chet ambacho akijawa certified ndo uta takiwa ufanye ivyo na kama una document yoyote utakayo taka kuweka ku support maombi yako ndo itabidi uweke muhuri wa mahakama kuongezea uzito.Mkuu,naomba kufahamu kitu kimoja.
Hv ktk processes za kuappeal kunawag na Yale mambo ya kuprint form.. Then kusm- certify vyeti na kwa mahakama au inakuwaje hapo.. Maana nikifikiria ule mlolongo kipindi naomba ndo nirudie tena vile... Mhhhh sitaki kwa kweli bora niache