Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

mwenye mawasiliano na loan board anisaidie ndugu zangu, nina shida ya haraka sana na kwenye namba zao za kwenye website yao hazipatikani
 
mwenye mawasiliano na loan board anisaidie ndugu zangu, nina shida ya haraka sana na kwenye namba zao za kwenye website yao hazipatikani
Ukiacha tamisemi, taasisi nyingine inayoendesha mambo yao kiholela ni hii bodi ya mikopo.

Maana haimake sense unasema umetoa majina ya wanufaika alafu watu wakiingia kwenye account zao hamna kitu. Pia unasema umefungua dirisha la rufaa, watu wakitaka kurufaa Hamna option yoyote.. Nina wasiwasi na hawa IT's wao
 
Ukiacha tamisemi, taasisis nyingine inayoendesha mambo yao kiholele ni hii bodi ya mikopo..
Maana haimake sense unasema umetoa majina ya wanaufaika alafu watu wakiingia kwenye account zao hamna kitu. Pia unasema umefungua dirisha la rufaa, watu wakitaka kurufaa Hanna option yoyote.. Nina wasiwasi na hawa IT's wao
Mkuu rufaa inakubali
 
Hawa jamaa bwana , wakati wa kusubmit ndio unaona ujumbe wa "Dean of Students Endorsement"...Kwanini hawasemi haya mapema kwenye instructions zao?
 
Kwa ambao awaoni sehemu ya ku appeal.log out kabsa kwenye account. then u tap vidude vitatu vya pembeni kushoto kwenye kona .u select iyo click to appeal
Screenshot_20201203-102641_Chrome.jpg
 
Kwa ambao awaoni sehemu ya ku appeal.log out kabsa kwenye account. then u tap vidude vitatu vya pembeni kushoto kwenye kona .u select iyo click to appealView attachment 1640590
Mkuu,naomba kufahamu kitu kimoja.
Hv ktk processes za kuappeal kunawag na Yale mambo ya kuprint form.. Then kusm- certify vyeti na kwa mahakama au inakuwaje hapo.. Maana nikifikiria ule mlolongo kipindi naomba ndo nirudie tena vile... Mhhhh sitaki kwa kweli bora niache
 
Hakuna hiyo sehemu, kuna form form tu baada ya kujaza utadownload, ina page 3, page ya pili ni ya kusign, then wanataka iende pia kuwa endorsed na Dean of Students wa chuo chako ulichopangiwa.
 
Back
Top Bottom