basi fresh
Senior Member
- Aug 16, 2018
- 106
- 183
wewe si MUST usijali omba mungu ijayo utapata coz ukifatilia nazani wa must kma wapo waliopata ni wachache sana..kuna ishu ivi..omba mungu utapataCc wenzio first selection na had sa hv hola!!
wewe si MUST usijali omba mungu ijayo utapata coz ukifatilia nazani wa must kma wapo waliopata ni wachache sana..kuna ishu ivi..omba mungu utapataCc wenzio first selection na had sa hv hola!!
Nimepata mkuu uwezi amini,yan najihis mwepesi hapa,dah ngoja nimcheki loan officer fasterwewe si MUST usijali omba mungu ijayo utapata coz ukifatilia nazani wa must kma wapo waliopata ni wachache sana..kuna ishu ivi..omba mungu utapata
Umepata batch ya ngapi?Nimepata mkuu uwezi amini,yan najihis mwepesi hapa,dah ngoja nimcheki loan officer faster
mzee vp umepata mkopo ?Kama wapo ni wachache saaaaaaanA
Kwani wametoa mkuu..?mzee vp umepata mkopo ?
Ya tatuUmepata batch ya ngapi?
Matangazo hawajaweka ila nimeingia SIPA nimekuta mzigo umetemaKwani wametoa mkuu..?
ya 3 tayari mzeeKwani wametoa mkuu..?
Ila ya tatu bado haijatangazwa ..? Au mimi ndio sijaona au huwa hawatangazi?Ya tatu
Lini mkuu..?Matangazo hawajaweka ila nimeingia SIPA nimekuta mzigo umetema
Wamesema ni wangapi wamepata ?ya 3 tayari mzee
Jana mzee baba!! Mida ya night kaliLini mkuu..?
Alafu we jamaa unazingua kwahyo ulikua unapretend kua upo ARU😠😠😠😠mimi kwangu mpka sasa pako empty ns sijaenda kuripoti chuoni ushirika moshi ...dah sijui kitatokea nini ?? na jana ndo ilikuwa deadline ya usajiri
hahahaha dont judge the book by its own cover nikikusimulia story yangu naamini huwezi hamini kabisa . all in all lets hope for the best to get a LOANAlafu we jamaa unazingua kwahyo ulikua unapretend kua upo ARU😠😠😠😠
🤔🤔🤔🤔🤔yalikukuta yepi mkuuhahahaha dont judge the book by its own cover nikikusimulia story yangu naamini huwezi hamini kabisa . all in all lets hope for the best to get a LOAN