Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

Dah hawa jamaa nimeamini ni taasisi isiyokuwa makini kabisa yani wametangaza majina mda sana lkn mpk sasa hawaja release upuuzi huu sasa inakaribia 24hrs
Only in Tz mambo ya ajabu sana.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Mkuu samahani una uhakika gani kuwa hawajaweka kwani watu 5168 wote wako humu kuwa wataleta ushuhuda?omba mungu upate ila siyo kushtumu wakati huenda wameweka lakini waliopata hawapo humu kuwa watatoa ushuhuda hilo uweke akilini liwepo kama akiba ya mawazo yako.
 
watu wa udsm-udbs tunakutana wapi wakuu tuanze kupeana mawili matatu kuhusu kuvaa vizuri na kulamba watoto wazuri wa ardhi na chuo cha maji
That is what your brain thinking then disco first year inakuhusu .wakati tunawaza tunapasuaje UE tue ma lecture ww unawaza watoto wazuri as if hawatokei kitaa.
 
Mkuu samahani una uhakika gani kuwa hawajaweka kwani watu 5168 wote wako humu kuwa wataleta ushuhuda?omba mungu upate ila siyo kushtumu wakati huenda wameweka lakini waliopata hawapo humu kuwa watatoa ushuhuda hilo uweke akilini liwepo kama akiba ya mawazo yako.
Bro sio instagram wala jf wala fb hamna mtu aliyetokea akasema account yake imebadilika na amepata mkopo
 
Watu walisha pata toka jana uko naona watu mnalalamika bodi ya mkopo wako slow tayar mda Sana Kama bado ujapata ujue panga limepita naona watu mnalalamika Sana tusubili watu 1000 walio bakia
 
Ila kila site watu wanasema hawajapata hii imekaajeh..?
 
Watu walisha pata toka jana uko naona watu mnalalamika bodi ya mkopo wako slow tayar mda Sana Kama bado ujapata ujue panga limepita naona watu mnalalamika Sana tusubili watu 1000 walio bakia
Mkuu hamna hata mtu mmoja aliyesema amepata batch ya pili si fb si insta si jf inawezekanaje sasa mkuu? Na hapo juu kuna mtu jana usiku kasema amepigiwa simu na loan officer kutoka chuoni kwao kuwa amepata mkopo but kwenye acc yake hakijabadilika kitu so na hapa unasemaje?
 
Nadhan huyo Jamaa alipata batch I maana, Kuna mdau nae mwaka Juzi hakuandikiwa Lolote ila majina yalivotoka Chuon kwa Loan officer Sua waliapdate online akajikutamo..
Ko, kwa IT board is very very rarely indeed
Mkuu hamna hata mtu mmoja aliyesema amepata batch ya pili si fb si insta si jf inawezekanaje sasa mkuu? Na hapo juu kuna mtu jana usiku kasema amepigiwa simu na loan officer kutoka chuoni kwao kuwa amepata mkopo but kwenye acc yake hakijabadilika kitu so na hapa unasemaje?
 
Mkuu hamna hata mtu mmoja aliyesema amepata batch ya pili si fb si insta si jf inawezekanaje sasa mkuu? Na hapo juu kuna mtu jana usiku kasema amepigiwa simu na loan officer kutoka chuoni kwao kuwa amepata mkopo but kwenye acc yake hakijabadilika kitu so na hapa unasemaje?
Mkuu ukitaka kuamini kuwa hawajatoa kwa mtu yeyote ingia ile page yao Fb ambayo Jana waliweka tangazi la mikopo batch tu.. Comments ni nyingi mno watu wanalalamika na hakuna hata Mtu mmoja anayesema kapata..
Watu wanalia Kyle fb ingia tu ujione
 
Sio poa
 
Attachments

  • Screenshot_20201118-081351.png
    Screenshot_20201118-081351.png
    20.4 KB · Views: 3
Yan cjui wanatoa kw mmoja mmoja aisee... Maan kuna mtu naye ananiambia kuw amepata jana... Alipata chuo first round, so ile batch ya 1 walivyotoa majibu ya mkopo yy wakamwandikia is yet to finalized,,, lkn ananiambia jana akakuta wamemwandikia kuw kapata.
Jaman hii kitu inachangany sana!!
Duuh ngoja tuendelee kusubir labd wanatoa taratibu hta sielewi.
 
Mkuu hamna hata mtu mmoja aliyesema amepata batch ya pili si fb si insta si jf inawezekanaje sasa mkuu? Na hapo juu kuna mtu jana usiku kasema amepigiwa simu na loan officer kutoka chuoni kwao kuwa amepata mkopo but kwenye acc yake hakijabadilika kitu so na hapa unasemaje?
Mkuu ukitaka kuamini kuwa hawajatoa kwa mtu yeyote ingia ile page yao Fb ambayo Jana waliweka tangazi la mikopo batch tu.. Comments ni nyingi mno watu wanalalamika na hakuna hata Mtu mmoja anayesema kapata..
Watu wanalia Kyle fb ingia tu ujione
 
Mkuu ukitaka kuamini kuwa hawajatoa kwa mtu yeyote ingia ile page yao Fb ambayo Jana waliweka tangazi la mikopo batch tu.. Comments ni nyingi mno watu wanalalamika na hakuna hata Mtu mmoja anayesema kapata..
Watu wanalia Kyle fb ingia tu ujione
Insta ndo usiseme mkuu
 
Jamani me naondoka humu na sifatilii tena mambo yenyewe haya maana huku ni kunyanyapaliwa kwenye hii nchi..

Endeleeni kupambana wadau, hapa nishaona ni siasa tu hamna mikopo kwa kweli
 
Mna mzuka sana, I get it, kuna wakat system hua haifunguki had unaenda chuo unasajiliwa bado inagoma, mchawi ni majina, we angalia tu jina relax, ukifika chuo kweny bench la mkopo watakwambia umepew nin na nin, hiyo sipa ilinikoseshaga usingiz kwa mda mref sana, kumb nina 100%
Mkuu hawatoi pdf
 
Sasa mwaka huu hawajatoa hayo majina. Yaani hawa HESLB hovyoooooooo
 
Mimi nasema ivyo na evidence ndomana nasema ivyo sikukatishi Tama ila kwenye ukwel tunaambizana tusubili watu walio bakia 1000 kwa serikal yasaiz itangaze Jambo alafu lisiwe limetimia never ever majina yameshatoka ukiona wew bado ujue umepigwa panga focus kivipi utapambana na chuo sio lazima upate mkopo ndo uende chuo
 
Back
Top Bottom