Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

Sema vyuo vya private wanatafuta wateja hvo wanakupigia kabisa simu ili uende maana ni biashara lkn kwa vyuo vya gvt yan afisa mkopo wa chuo akupigie hawana moyo huo bro mm hata kupata tu chuo nilipata na Mzumbe mbeya lkn saut wakanipigia njoo kwetu sasa kutokana na ratiba zangu mzumbe nikaona siwezi nakawambia saut nitakuja hvo

Vyuoni majina tayar yameenda

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Ninacho weza kusema Hawa jamaa hawawezi Apload majina yote wakamalzaa, wengii wamekwenda taifa kucheki mechi..
Hivyo, kuapload Sasa probability
Hivyo tusikatee moyo watu wa Mungu✋
 
Mngekuwa mpo kufatilia nalosema msingepata presha kwa maana HESLB nawajua sana batch ya pili na kuendelea kupata ni ngumu hapo yaan uwezekano mdogo sana hapo kuanzia kesho hadi ijumaa yatatoka lakini uwezekano wa kutopata ndio mkubwa embu jiulize kwanini wanachelewesha kutoa
 
Yaan mkuu issue iko hv. Idadi ya Watu waliopaata batch 2 inafahamika So kama umekosa au umepata hakiwezi kubadilika kitu kwa sasa.. Watu wapo tayar kwa lolote ila wanachohitaji ni taarifa tu wajue jambo 1..
Obvious watu wanaosubiria ni wengi mno ila majina ni machache na hata watu waliokosea taarifa zao naamini bado heslb hawajatoa taarifa yoyote au option ya kuappeal
 
Yaan mkuu issue iko HV.. Idadi Watu waliopata batch 2 inafahamika So kama umekosa au umepata hakiwezi kubadilika kitu kwa sasa.. Watu wapotayar kwa lolote ila wanachohitaji ni taarifa tu wajue jambo 1..
Obvious watu wanaosubiria ni wengi mno ila majina ni machache na haya watu waliokosea taarifa zao naamini bado heslb hawajatoa taarifa yoyote au option ya kuappeal

👏 Watu tupo tayari kwa lolote
 
Well say
 
Liwalo na liwe
 
Back
Top Bottom