Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

Sio kweli,majina ya rufaa hayajatoka
Hawajatoa majina ila ukitembelea SIPA yako utakuta kumebadilika kuna mshkaj wang juzi usiku aliingia SIPA yake akakuta kapiga 100% na kuna wengine nipo nao chuo wameingia leo wameona wamepiga na wao 100% but juzi na jana kulikuwa empty so nahis wanaendelea kuapdate mdogo mdogo wakimaliza watatoa taarifa za jumla
 
Vyuo gani hao jamaa zako,mana mdogo wangu mambo kwake bado au yy kwa kuwa yupo chuo binafsi tena cha kanisa....aisee
 
Majibu ya appeal yanatoka lini? Maana hali ni ngumu, mimi nafikiria kuahirisha hadi mwakani mzazi ajipange upya
 
Kutokana na experience ya batch 1,2 na 3, wale ambao bado hawajaona chochote kwenye account zao wasitegemee miujiza, ni vyema kujiandaa kisaikolojia.
 
Kutokana na experience ya batch 1,2 na 3, wale ambao bado hawajaona chochote kwenye account zao wasitegemee miujiza, ni vyema kujiandaa kisaikolojia.
naona ni kweli, kuna mtu kasema majibu ya appeal yamesogezwa hadi December 24, a day before christmas!
 
Wakati wengine tayari washaona status zao na wote wameomba pamoja.
Mkuu, iko hv wale wote walioona status zao kuwa wamepata mikopo toka Jana zimebadilika na wameambiwa wasubir had tar 24..
Watu wanapigwa na butwaa sasa ina maana walikuwa hawajamaliza kwa watu wengine..?
 
Appeal ya bodi ya mikopo imetoka tokea tarehe 24 lakini wamesema tu ni watu 2000 lakini hakuna pdf ya majina sasa mtu atajuaje km kapewa?

Pili wanasema watu wachek kwa account zao akaunt zipo empty kwa kila mmoja hakuna notifications zozote zile wala taarifa yoyote ile haionekani hapa kila mtu analalamika

Kuna mnaosema mshajua mmepata au mmekosa kwenye hii rufaa ya bodi yaani appeal window vipi mmefahamu vipi?

Nambieni
 
Back
Top Bottom