Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
2,268
2,000
Kwani document gani ulihitajika uweke..?
Barua toka kwa wazazi (wote wapo hai sema. Ages ni 70+) kuwa hawawezi kuni finance elimu ya chuo kikuu. Hapa. Sahii ya dole gumba kimbembe hiko ,, barua toka kwa mwanasheria ndo. Kimbembe hapo tens ndo na kamalisha muda huu sema hela ya kulipia kwa advocate ni ngumu kupata.
 
Desert Lion

Member
Sep 8, 2020
83
125
Kijana acha dharau usifikir kuropoka kwako kuna mtu atakusifia humu
Huyu Jamaa ana dharau kisen** anajiona keki ile mbaya sijui anaringiaga nn huyu mshkaj umemwambia ukwel mtupu ila anaonesha jins gan ana dharau na majib ya shit tu kwa watu asiowajua, yaan umemuuliza in polite lg ila alivyokujibu daaah Mung amsamehe tu ila mvumilie man majib yake Tushayazoea hum ndan Tunaishi naye tu kibish bish ila usikute mwenetu heslb imemchanganya akachanganyikiwa ila alivyo shombe shombe atanijib kwa kunishusha na kunipandisha kama dem wang wa UDBS
 
Desert Lion

Member
Sep 8, 2020
83
125
Tulia wewe, me nimeappeal na siko chuo.. Kitajulikana hapohpo.. Siwezi kushindwa kuappeal ety kwa kuwa sipo chuo
Ukiambiwa Elewa dogo kuappeal lazm uwe umesajiliwa chuoni sasa we kama ume appeal ukiwa mtaan ukishindwa appeal usije kulia lia Tutakukumbusha majibu yako ya dharau we Omba mung ushinde tu na Tunakuombea Ushinde appeal Ila nikukumbushe tu ukipata boom ukifika chuo ukumbuke kupigia simu na kuwasiliana na wenzio uliomaliza nao diploma na usiwasahau wana wa mtaani kisa kahela kadogo tu Kuna maisha baada ya Chuo
 
Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
5,136
2,000
Kijana acha dharau usifikir kuropoka kwako kuna mtu atakusifia humu
Idiot wewe..!onesha sehemu niliyoweka dharau..!! TRNA jifunze kuongea vyenye mantinki so unaropoka tu.. Ina maana kusema kwangu kuwa nimeappeal hata kama siko chuo ndo Iwe kosa..?
Acha usenge kila MTU apambane na life lake.
Himu kuna watu ni wakuda tu wanapenda sana kukatishana tamaa kwenye maisha,, acha MTU ajaribu analoliona litamfaa..
Usinipangia maisha ww
 
Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
5,136
2,000
Ukiambiwa Elewa dogo kuappeal lazm uwe umesajiliwa chuoni sasa we kama ume appeal ukiwa mtaan ukishindwa appeal usije kulia lia Tutakukumbusha majibu yako ya dharau we Omba mung ushinde tu na Tunakuombea Ushinde appeal Ila nikukumbushe tu ukipata boom ukifika chuo ukumbuke kupigia simu na kuwasiliana na wenzio uliomaliza nao diploma na usiwasahau wana wa mtaani kisa kahela kadogo tu Kuna maisha baada ya Chuo
Achana na mm wew kenge wa majini.. Alafu usipende kuingilia jambo za watu.. Me najiamini na ndo maana sipelekeshwi, nafanya kile nachoona kitanifikisha ninakokutaka.. So usinifokee, nimeappeal mm na wala hukunichangia hata sh 10 ya kuapply mkopo boya wewe,, sipendi kufuatiliana maisha kabisa acha nifanye nachokiamini.

Kwanza nioneshe jinai hapo niloifanya.. Kusema kwangu kuwa nimeappeal ndo iwe jinai.. Acheni uzwazwa nyie..
Kila MTU afanye anachokipenda.
Hunijui na ufanye kama ID hujui pia.
Alafu ukaripoti vizuri kwa mods kuwa nimekutukana.
 
Alafu unaweza kujikuta ni DOGO SANA wewe kwangu.. JF naijua toka kitambo sana miaka mingi kabla sijajiunga, So Usinitafutie kesi dogo me nakula kwangu sili kwetu kama wewe.. Ntakuzingua..
 
Kibra49

Senior Member
Jul 19, 2017
167
225
Huo ndo mwisho wako wa kufikiria,akili finyu kama mafuta ya taa jifunze dogo sio kuropoka utumbo
Idiot wewe..!onesha sehemu niliyoweka dharau..!! TRNA jifunze kuongea vyenye mantinki so unaropoka tu.. Ina maana kusema kwangu kuwa nimeappeal hata kama siko chuo ndo Iwe kosa..?
Acha usenge kila MTU apambane na life lake.
Himu kuna watu ni wakuda tu wanapenda sana kukatishana tamaa kwenye maisha,, acha MTU ajaribu analoliona litamfaa..
Usinipangia maisha ww
Ndo
 
Kibra49

Senior Member
Jul 19, 2017
167
225
Mtoto mdogo sna huyo asikuumize akili hajui kitu zaid ya kupayuka tu ujinga bado anaitaji kutawazwa
Huyu Jamaa ana dharau kisen** anajiona keki ile mbaya sijui anaringiaga nn huyu mshkaj umemwambia ukwel mtupu ila anaonesha jins gan ana dharau na majib ya shit tu kwa watu asiowajua, yaan umemuuliza in polite lg ila alivyokujibu daaah Mung amsamehe tu ila mvumilie man majib yake Tushayazoea hum ndan Tunaishi naye tu kibish bish ila usikute mwenetu heslb imemchanganya akachanganyikiwa ila alivyo shombe shombe atanijib kwa kunishusha na kunipandisha kama dem wang wa UDBS
 
Desert Lion

Member
Sep 8, 2020
83
125
Alafu unaweza kujikuta ni DOGO SANA wewe kwangu.. JF naijua toka kitambo sana miaka mingi kabla sijajiunga, So Usinitafutie kesi dogo me nakula kwangu sili kwetu kama wewe.. Ntakuzingua..
Nani asiyekujua wewe mzee wa Expert member kazi yako ni kujimwambafai JF tu eti oooh mm naijua JF kitambo khaaa nan kakuuliza sasa , we huna lolote we mtoto wa mama tu umzingue nan kibamia wewe kaa kwa kutulia dogo kama unakula kwako sasa unakesha bodi ya mikopo ya nn boya ww eti ooh heslb inakatisha ndoto zangu Stupid!!! Si ungefaulu 4M 4 ukasome advance utimize ndoto zako za kusoma degree so kama uliamua kusoma diploma pambana na diploma yako kwan umeshindwa kutafuta mchongo wowote kwa diploma yako ukapata cash ukajiendeleza au umesoma mavitu hayapo duniani afu we si unakula kwako au pesa imeisha unataka bodi ya mikopo ndo ikulishe pambana dogo lyf is not easy lyk that huwenda diploma yako ina matter kuliko hiyo degree unayoipambania SUA tafuta mchong wa diploma pata cash ujiendeleze coz bodi haiwez ikakufikiria hata kidogo boya kama ww mwenye majibu ya dharau na kibur unajiona keki kiseng* utasema dem bana tena Wallah we jamaa ukipata hata boom mm nawaomba Mods wadelete acc yang ya JF. Pambana mtoto wa kiume ww jiongeze
 
Desert Lion

Member
Sep 8, 2020
83
125
Achana na mm wew kenge wa majini.. Alafu usipende kuingilia jambo za watu.. Me najiamini na ndo maana sipelekeshwi, nafanya kile nachoona kitanifikisha ninakokutaka.. So usinifokee, nimeappeal mm na wala hukunichangia hata sh 10 ya kuapply mkopo boya wewe,, sipendi kufuatiliana maisha kabisa acha nifanye nachokiamini.

Kwanza nioneshe jinai hapo niloifanya.. Kusema kwangu kuwa nimeappeal ndo iwe jinai.. Acheni uzwazwa nyie..
Kila MTU afanye anachokipenda.
Hunijui na ufanye kama ID hujui pia.
Alafu ukaripoti vizuri kwa mods kuwa nimekutukana.
Hahaha we shombe shombe ndo wa kushtak kwa mods sio mm simba wa jangwa The Desert Lion afu usiombe mung majibu ya appeal yatoke afu bodi ikakupiga chini aseee unavyojiona keki nitakukera balaaa labda usifungue uzi ila ukifungua uzi wa kulalamika lalamika tena nitakukumbusha majibu yako ya dharau then utajuta kuufungua huo uzi wallah we omba mung bodi ikufikirie lasivyo tulia ndani kwako ujilaumu kwa uzembe na dharau zako then jipange upya ila usifungue uzi wa kuilalamikia bodi ya mikopo hapa JF akati unafanya vitu kizembe zembe tu afu ukiambiwa unapanda juuuu badala ya kujishusha ueleweshwe ujue utafanya nn sio kutukana mamba mto hujavuka Kaa kwa kutuli mdogo wangu wa mwisho
1607749354341.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom