Naomba kueleweshwa kuhusu mfumo wa gesi ya kupikia katika nyumba/jiko

Kitumburee

Senior Member
Jan 31, 2012
127
225
Nawasalimu wakuu.

Naomba kwa wanaofahamu wanieleweshe kuhusu kuweka system ya gas ya kupikia katika jiko. Katika pitapita zangu nikawasikia jamaa wanaongelea kuwa kuna mfumo ambao mtungi wa gas unawekwa nje kabisa mbali na kijoni, halafu wamepitisha bomba za kupeleka gas ndani/jikoni.

Hii imekaaje wadau, mwenye kuielewa zaidi atufafanulie.
 

Mtomawe

Senior Member
Feb 3, 2019
117
225
Hayo ni majiko yenye gesi na umeme kwa pamoja, ikiwa hivyo inashauriwa gesi kutokaa ndani kabisa sababu ikitokea majanga ya moto ni hatari sana kama gesi pamoja na jiko la umeme yamekaa pamoja.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom