Naomba kueleweshwa kuhusu hizi picha mbili.

Akhy D

JF-Expert Member
Jun 10, 2013
361
419
Hembu nisaidieni kuelewa hizi picha mbili
 

Attachments

  • 12341333_10204023693232981_3269356119806565938_n.jpg
    12341333_10204023693232981_3269356119806565938_n.jpg
    57.8 KB · Views: 636
  • 12342843_10204023693552989_4901861767503901270_n.jpg
    12342843_10204023693552989_4901861767503901270_n.jpg
    56.2 KB · Views: 650
Hio ni editing inayofanywa na frauders....


Huyo mtu anayeshuka ktk defender ni wale strong men wa kabila flani hvi niliona bbc documentary ambao hunywa maziwa na damu tuu kwa siku tano mfululizo na mwenye tumbo kubwa ndio mshindi baada ya sherehe hizo.


Hio ya T.B Joshua ministry sio the real account bali ni editing imefanywa na ww ukapata screen shot ambazo zipo kupotosha jamii na kuharibu imani za watu.
Huoni hata english ilotumika hapo ni broken
 
Picha ya kwanza ipo sawa, ya pili ni picha ya kununua dukani, yaani no ileile ya kwanza imekuja kupachikwa sehemu nyingine!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom