Huyo mtu anayeshuka ktk defender ni wale strong men wa kabila flani hvi niliona bbc documentary ambao hunywa maziwa na damu tuu kwa siku tano mfululizo na mwenye tumbo kubwa ndio mshindi baada ya sherehe hizo.
Hio ya T.B Joshua ministry sio the real account bali ni editing imefanywa na ww ukapata screen shot ambazo zipo kupotosha jamii na kuharibu imani za watu.
Huoni hata english ilotumika hapo ni broken
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.