Naomba kuelekezwa namna ya uzalishaji wa pombe kali

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,973
1,398
Mwenye ufahamu wa utengenezaji na uzalishaji wa pombe kali (gin) anisaidie.

Hapa nazungumzia kiwanda kidogo cha uzalishaji.

1. Upatikanaji wa material zake - Ethanol na flavor zake
2. Machine zinazohitajika kuanzia hatua ya mwanzo hadi mwisho kwenye packaging. upatikanajI wa machine na bei zake
3. Vibari vinavyohitajika kwa ajili ya uzalishaji na gharama zake
4. Mengineyo ya nyongeza
 
Tafuta mtaalamu aliyesoma Bachelor ya food science and technology SUA ndiyo kazi zao. Wewe unamwambia unachotaka kuzalisha kama ni Spirit, wine maji yeye atakuambia udesign vip layout ya eneo na kila kitu kulingana na mfuko wako. Pia atakupa utaratibu wa mamlaka za kufuata vibali kuanzia TMDA, TBS, TRA, JIJI, NEMC,,,,,kulingana na uhitaji na umuhimu husika.
 
Sijawahi ifanya ila nina ndoto hzo. Ina mzunguko sana we mwenyewe angalia mtaani utaona.
Kumbe jf ina nyuzi zinazoelezea haya mambo aisee

Long live jf

Japo si pombe kali lakin kuna cha kujifunza
 
Kumbe jf ina nyuzi zinazoelezea haya mambo aisee

Long live jf

Japo si pombe kali lakin kuna cha kujifunza

Duuh Noma Sanaa
 
Vibali unapaata (TMDA) Baada kukaguliwa ili kuangalia kama una eneo , machines (hizi unaagiza Alibaba) na wataalamu( chemist). Ethanol wanatoa moshi wilaya ya mwanga eneo linaitwa kifaru kuna kiwanda kinasupply hii kitu hadi nje ya nchi.. vifungashio wacheki jamaa wa kiwanda cha hill water wana machine ya kuproduce chupa za plastics....
 
Hivi ni kile pale ambacho hakipo mbali na Mwanga bus station ukiwa unaelekea kifaru petrol station upande wa kulia.
Itabidi nifanye ziara

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tupe mwongozo mkuu
Nataka togwa iwe na kilevi kama 5% kwa kila kikombe cha robo lita.

Alcohol inatengenezwaje?
Hapo lazima ufanye fermentation yaani uchukue togwa uweke kwenye drums halafu uweke mtama au amira ya pombe wanaita wine yeast ukisubiri siku 7 lazima iwe ya moto
 
Vibali unapaata (TMDA) Baada kukaguliwa ili kuangalia kama una eneo , machines (hizi unaagiza Alibaba) na wataalamu( chemist). Ethanol wanatoa moshi wilaya ya mwanga eneo linaitwa kifaru kuna kiwanda kinasupply hii kitu hadi nje ya nchi.. vifungashio wacheki jamaa wa kiwanda cha hill water wana machine ya kuproduce chupa za plastics....
Mashine zipo SIDO
 
Back
Top Bottom