Naomba kuelekezwa namna ya kutuma Pesa kutoka Burundi kwenda Tanzania

Jifunze sana kusafiri na dola

Mm kuna jamaa tunafanya nae biashara tunatoa bodhaa Tz tunapeleka Burundi kuuza, tukiuza ile hela ya Burundi namna sasa ya kuibadili kuwa Tsh ndio shida. Maana bank wanabadili hela wanakupa dola hata tsh nimeambiwa wanabadili lakini wanapunja kuliko kawaida yaani hata ile faida ya bishara yote ilinaliwa. Nilidhani labda kutakuwa na njia nzuri zaidi ya kubadili pesa ili kupata tsh bila kukwatwa sana.
 
Border ya Kobero wanabadili kwa exchange rate kiasi gani? Laki moja ya Burundi unapata Tsh ngapi mkuu? Kama utakuwa unafahamu hilo.
kwa sasa sifahamu ila kwa kawaida rate za kobero zinakuwa nzuri zaidi kuliko Bujumbura hasa ukiwa na hela nyingi kama hiyo
 
Back
Top Bottom