Naomba kuelekezwa namna ya kuanzisha online TV

Habari wakuu naomba niwasilishe mchango wangu kama kutakua na nyongeza wataluja wataalamu.Mchango wangu ni online Tv ambayo ni Youtube

1.Uwe na channel ya YouTube ambayo umeweka content hata moja (hii itasaidia TCRA wanapofanya ukaguzi ili wakupe leseni)

2.Leseni toka TCRA
Leseni hizi zipo za gharama tofauti kulingana na maudhui (content) unazoweka kwenye channel yako

Channel za burudani,dini,elimu leseni yake ni shilingi laki 5 kwa mwaka,lakini kwakua ndio unaanza utalipa na laki moja ya Application.

Channel ambazo ni za Hard News utalipa Milioni moja kwa mwaka,vivyo hivyo kama ndo unaanza unatakiwa kulipa na laki moja ya Application.

NB:Leseni hizi hudumu kwa miaka 3,ikiisha unaomba tena(una renew)

3 ViFAA
Hapa inategemeana na wewe unataka ufanye kwa kiwango kipi.

Kama unahitaji kuweka content zitazotakiwa urekodi video bhasi uwe na camera pamoja na computer za kueditia.

Kama unataka uwe unaweka picha tu kisha unapitisha sauti yako kwa juu (voice over) hapa pia inategemeana na bajeti,kama una hela nunua hata mic,compute na mixer au sound card

Lakini kama unaanza na unajikongoja,simu hizi za smartphone zinapiga kazi vizuri tu
*Download app za kueditia mfano (Kinemaster na nyingine nyingi)
*Ukipata hela kidogo nunua mic kwaajili ya simu ziko pale kariakoo wanauza laki moja unapata sauti quality kubwa.

Ni hayo tu kwa leo,ila kama unataka kujenga brand yako na upate watazamaji,zingatia ubunifu,kuwa fasta kuweka stori au video,uwe na weledi,yaani usiweke stori au habari unaongea pumba au tukio usilolielewa vizuri,watu watakupuuza mazima.

Uvumilivu ni muhimu,kabla hujaanza kupata views kibao,zingatia kua mvumilivu mana Online Tv ni nyingi sana na ushindani ni mkubwa,kua focused.

Kila la kheri

ANKO JAY.
 
Nawaza kuwekeza ivi kwa tathmin ya chaochap mtu kama joti aweza kuwa anaingiza pesa ngapi.... Google ads (adsense) youtube
 
Ngoja Kwanza nikuulize.... Kwani kuna ulazima wa Chanel yeyote ya YouTube uende tcra??... Aaaaaaahhhhhhh jamaniiiiiii... Hebu liweke wazi hili.. Au ni online tv tu??... Mana hata mimi nataka kuwa na YouTube Chanel yangu, ili iniingizie kipato kupitia ads.. Sasa mbona mambo ya TCRA tena jamaaniiiiiiii
 
Habari wakuu naomba niwasilishe mchango wangu kama kutakua na nyongeza wataluja wataalamu.Mchango wangu ni online Tv ambayo ni Youtube

1.Uwe na channel ya YouTube ambayo umeweka content hata moja (hii itasaidia TCRA wanapofanya ukaguzi ili wakupe leseni)

2.Leseni toka TCRA
Leseni hizi zipo za gharama tofauti kulingana na maudhui (content) unazoweka kwenye channel yako

Channel za burudani,dini,elimu leseni yake ni shilingi laki 5 kwa mwaka,lakini kwakua ndio unaanza utalipa na laki moja ya Application.

Channel ambazo ni za Hard News utalipa Milioni moja kwa mwaka,vivyo hivyo kama ndo unaanza unatakiwa kulipa na laki moja ya Application.

NB:Leseni hizi hudumu kwa miaka 3,ikiisha unaomba tena(una renew)

3 ViFAA
Hapa inategemeana na wewe unataka ufanye kwa kiwango kipi.

Kama unahitaji kuweka content zitazotakiwa urekodi video bhasi uwe na camera pamoja na computer za kueditia.

Kama unataka uwe unaweka picha tu kisha unapitisha sauti yako kwa juu (voice over) hapa pia inategemeana na bajeti,kama una hela nunua hata mic,compute na mixer au sound card

Lakini kama unaanza na unajikongoja,simu hizi za smartphone zinapiga kazi vizuri tu
*Download app za kueditia mfano (Kinemaster na nyingine nyingi)
*Ukipata hela kidogo nunua mic kwaajili ya simu ziko pale kariakoo wanauza laki moja unapata sauti quality kubwa.

Ni hayo tu kwa leo,ila kama unataka kujenga brand yako na upate watazamaji,zingatia ubunifu,kuwa fasta kuweka stori au video,uwe na weledi,yaani usiweke stori au habari unaongea pumba au tukio usilolielewa vizuri,watu watakupuuza mazima.

Uvumilivu ni muhimu,kabla hujaanza kupata views kibao,zingatia kua mvumilivu mana Online Tv ni nyingi sana na ushindani ni mkubwa,kua focused.

Kila la kheri

ANKO JAY.
Hivi vp kuhusu channel binafsi inayotumika kama vlog, lifestyle etc kama wanavyofanya watu wengi nchi zote kasoro tz? Hii pia inahitaji leseni?
 
Hujaongelea jinsi ya kupata revenue
 
Anzisha ukamatwe.

Sema CCM oyeeeeee
 
Naomba kujua namna ya kuanzisha online TV, taratibu zake na mambo yanayofanana na hayo. Natanguliza Shukurani.
Online TV ili ivutie watu, unahitaji shows kali. Na kuwa na shows kali, unahitaji wasanii, vifaaa vizuri vya video and audio recording, na camera crew nzuri. Ili kufanya kitu cha maana, uwe na tshs milion 100 au zaidi. Competition leo pia ni kubwa. Fikiria ni kwa nini mtu aache kuangalia videos za Millard, WCB, Mwananchi digital etc aangalie za kwako? Na bila views, hauna bishara. Youtube tv unalipwa kwa views. Mambo ya ad sense, hayaendani na youtube videos. Hayo ni website
 
Kwahio unataka kusema mtu akifikisha vigezo vya YouTube... Matangazo si lazima uwe ads account ambayo ipo Active? Au inakuaje hapo., mana umesema Adsense haihusiani na YouTube hio ni ya website tu.. Ebu fafanua ndugu

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Kuna program inaitwa Google adsense. Hiyo unaingiza $$ kupitia google ads kwenye website yako. Ambayo siku hizi haiingizi $$ sana.

YouTube program inaitwa YouTube Partner Program. Haiitwi adsense. Na hiyo ndio unalipwa kutegemeana na number of views video yako imezipata. Number of channel subscribers also matter.
 
Alaaa, lakini awali nilisha wahi kusikia kuwa, kabla hujafungua YouTube Chanel.. Unatakiwa kua na Account ya Adsense ambayo ipo Active ili kuunganishwa na matangazo... Sasa hii YouTube partners hii kwangu ni mpya... Au huenda nilipotoshwa

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Thanks anko Jay
Habari wakuu naomba niwasilishe mchango wangu kama kutakua na nyongeza wataluja wataalamu.Mchango wangu ni online Tv ambayo ni Youtube

1.Uwe na channel ya YouTube ambayo umeweka content hata moja (hii itasaidia TCRA wanapofanya ukaguzi ili wakupe leseni)

2.Leseni toka TCRA
Leseni hizi zipo za gharama tofauti kulingana na maudhui (content) unazoweka kwenye channel yako

Channel za burudani,dini,elimu leseni yake ni shilingi laki 5 kwa mwaka,lakini kwakua ndio unaanza utalipa na laki moja ya Application.

Channel ambazo ni za Hard News utalipa Milioni moja kwa mwaka,vivyo hivyo kama ndo unaanza unatakiwa kulipa na laki moja ya Application.

NB:Leseni hizi hudumu kwa miaka 3,ikiisha unaomba tena(una renew)

3 ViFAA
Hapa inategemeana na wewe unataka ufanye kwa kiwango kipi.

Kama unahitaji kuweka content zitazotakiwa urekodi video bhasi uwe na camera pamoja na computer za kueditia.

Kama unataka uwe unaweka picha tu kisha unapitisha sauti yako kwa juu (voice over) hapa pia inategemeana na bajeti,kama una hela nunua hata mic,compute na mixer au sound card

Lakini kama unaanza na unajikongoja,simu hizi za smartphone zinapiga kazi vizuri tu
*Download app za kueditia mfano (Kinemaster na nyingine nyingi)
*Ukipata hela kidogo nunua mic kwaajili ya simu ziko pale kariakoo wanauza laki moja unapata sauti quality kubwa.

Ni hayo tu kwa leo,ila kama unataka kujenga brand yako na upate watazamaji,zingatia ubunifu,kuwa fasta kuweka stori au video,uwe na weledi,yaani usiweke stori au habari unaongea pumba au tukio usilolielewa vizuri,watu watakupuuza mazima.

Uvumilivu ni muhimu,kabla hujaanza kupata views kibao,zingatia kua mvumilivu mana Online Tv ni nyingi sana na ushindani ni mkubwa,kua focused.

Kila la kheri

ANKO JAY.
 
Habari wakuu naomba niwasilishe mchango wangu kama kutakua na nyongeza wataluja wataalamu.Mchango wangu ni online Tv ambayo ni Youtube

1.Uwe na channel ya YouTube ambayo umeweka content hata moja (hii itasaidia TCRA wanapofanya ukaguzi ili wakupe leseni)

2.Leseni toka TCRA
Leseni hizi zipo za gharama tofauti kulingana na maudhui (content) unazoweka kwenye channel yako

Channel za burudani,dini,elimu leseni yake ni shilingi laki 5 kwa mwaka,lakini kwakua ndio unaanza utalipa na laki moja ya Application.

Channel ambazo ni za Hard News utalipa Milioni moja kwa mwaka,vivyo hivyo kama ndo unaanza unatakiwa kulipa na laki moja ya Application.

NB:Leseni hizi hudumu kwa miaka 3,ikiisha unaomba tena(una renew)

3 ViFAA
Hapa inategemeana na wewe unataka ufanye kwa kiwango kipi.

Kama unahitaji kuweka content zitazotakiwa urekodi video bhasi uwe na camera pamoja na computer za kueditia.

Kama unataka uwe unaweka picha tu kisha unapitisha sauti yako kwa juu (voice over) hapa pia inategemeana na bajeti,kama una hela nunua hata mic,compute na mixer au sound card

Lakini kama unaanza na unajikongoja,simu hizi za smartphone zinapiga kazi vizuri tu
*Download app za kueditia mfano (Kinemaster na nyingine nyingi)
*Ukipata hela kidogo nunua mic kwaajili ya simu ziko pale kariakoo wanauza laki moja unapata sauti quality kubwa.

Ni hayo tu kwa leo,ila kama unataka kujenga brand yako na upate watazamaji,zingatia ubunifu,kuwa fasta kuweka stori au video,uwe na weledi,yaani usiweke stori au habari unaongea pumba au tukio usilolielewa vizuri,watu watakupuuza mazima.

Uvumilivu ni muhimu,kabla hujaanza kupata views kibao,zingatia kua mvumilivu mana Online Tv ni nyingi sana na ushindani ni mkubwa,kua focused.

Kila la kheri

ANKO JAY.
Maelezo mazuri
 
Tupeni darasa na namna ya kupata hizo Pesa baadaada ya kufungua hiyo YouTube Channel. By Libweni
 
Kuna program inaitwa Google adsense. Hiyo unaingiza $$ kupitia google ads kwenye website yako. Ambayo siku hizi haiingizi $$ sana.

YouTube program inaitwa YouTube Partner Program. Haiitwi adsense. Na hiyo ndio unalipwa kutegemeana na number of views video yako imezipata. Number of channel subscribers also matter.
Nyongeza.
Youtube hailipi kwa views bali matangazo.

Idadi ya watu wanaoangalia tangazo(pay per view), walioclick tangazo na cpm(cost per impression) .

Google inasema
YouTube Partner program also enables revenue sharing from ads being served on your content.

Adsense ni njia ya malipo kwa program za google ambazo ni admob(apps),google ads na youtube ads.

Page youtube partner inamtaka muombaji kuwa na akaunti ya google adsense.
Angalia sehemu ya requirements kipengele cha tano kinasema
Have a linked AdSense account

Subscribers haijawai kuwa factor ya kulipwa kiasi gani bali subscriber ni kigezo kinachotumiwa na youtube kuzikubali channel zinazoomba kuwekea matangazo kupitia YPP.
 
Habari wakuu naomba niwasilishe mchango wangu kama kutakua na nyongeza wataluja wataalamu.Mchango wangu ni online Tv ambayo ni Youtube

1.Uwe na channel ya YouTube ambayo umeweka content hata moja (hii itasaidia TCRA wanapofanya ukaguzi ili wakupe leseni)

2.Leseni toka TCRA
Leseni hizi zipo za gharama tofauti kulingana na maudhui (content) unazoweka kwenye channel yako

Channel za burudani,dini,elimu leseni yake ni shilingi laki 5 kwa mwaka,lakini kwakua ndio unaanza utalipa na laki moja ya Application.

Channel ambazo ni za Hard News utalipa Milioni moja kwa mwaka,vivyo hivyo kama ndo unaanza unatakiwa kulipa na laki moja ya Application.

NB:Leseni hizi hudumu kwa miaka 3,ikiisha unaomba tena(una renew)

3 ViFAA
Hapa inategemeana na wewe unataka ufanye kwa kiwango kipi.

Kama unahitaji kuweka content zitazotakiwa urekodi video bhasi uwe na camera pamoja na computer za kueditia.

Kama unataka uwe unaweka picha tu kisha unapitisha sauti yako kwa juu (voice over) hapa pia inategemeana na bajeti,kama una hela nunua hata mic,compute na mixer au sound card

Lakini kama unaanza na unajikongoja,simu hizi za smartphone zinapiga kazi vizuri tu
*Download app za kueditia mfano (Kinemaster na nyingine nyingi)
*Ukipata hela kidogo nunua mic kwaajili ya simu ziko pale kariakoo wanauza laki moja unapata sauti quality kubwa.

Ni hayo tu kwa leo,ila kama unataka kujenga brand yako na upate watazamaji,zingatia ubunifu,kuwa fasta kuweka stori au video,uwe na weledi,yaani usiweke stori au habari unaongea pumba au tukio usilolielewa vizuri,watu watakupuuza mazima.

Uvumilivu ni muhimu,kabla hujaanza kupata views kibao,zingatia kua mvumilivu mana Online Tv ni nyingi sana na ushindani ni mkubwa,kua focused.

Kila la kheri

ANKO JAY.
u
Hujaongelea jinsi ya kupata revenue
Hivi ile laki moja kama unaanza ni unalipia kwa mwaka mzima au hio ni kwaajili ya usajili tuu ile laki tano ipo pale pale
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom