Naomba kuelekezwa kuhusu Pharmaceutical na ajira zake

QT Jay

Member
Jan 25, 2017
49
25
Wakuu Naomba kwa mwenye uelewa mzuri juu ya course ya pharmaceutical anichanganulie ubora wake na changamoto zake
 
Uwe mzuri sana kwenye chemistry, kupata kazi sio shida na ni transferrable skill unaweza kufanya kazi nchi yeyote ile mradi ufuate taratibu za kujiandikisha katika nchi hiyo.
 
Back
Top Bottom