Mdugo Member Nov 17, 2017 55 37 Feb 9, 2018 #1 Habarini wanajukwaa... Samahanini... Naomba kuelekezwa jinsi ya kuzipata na kuinstall MTK drivers kwenye PC yangu, specifically Windows 7 Asante
Habarini wanajukwaa... Samahanini... Naomba kuelekezwa jinsi ya kuzipata na kuinstall MTK drivers kwenye PC yangu, specifically Windows 7 Asante
Tomaa Mireni JF-Expert Member Sep 8, 2015 2,328 2,283 Feb 9, 2018 #2 Kama uko vizuri uje PM tuyajenge
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Sep 25, 2015 9,412 26,892 Feb 9, 2018 #3 Mdugo said: Habarini wanajukwaa... Samahanini... Naomba kuelekezwa jinsi ya kuzipata na kuinstall MTK drivers kwenye PC yangu, specifically Windows 7 Asante Click to expand... Tafuta mtk USB all v1.10 Fanya manual installations Ukikwama 0745090905
Mdugo said: Habarini wanajukwaa... Samahanini... Naomba kuelekezwa jinsi ya kuzipata na kuinstall MTK drivers kwenye PC yangu, specifically Windows 7 Asante Click to expand... Tafuta mtk USB all v1.10 Fanya manual installations Ukikwama 0745090905