Mkuu..ukishajua how it was blood stained itakusaidia Nini?Ukitusaidia how was it bloodstained basi tunaweza kwa haraka sana kukupa msaada unaohitaji.
Karibu tafadhali.
Huyo naye je?Mkuu..ukishajua how it was blood stained itakusaidia Nini?..
Mimi nataka kujua namna yakutoa Doa ..shuka langu nalipenda Sana..
OkMkuu..ukishajua how it was blood stained itakusaidia Nini?..
Mimi nataka kujua namna yakutoa Doa ..shuka langu nalipenda Sana..
Nakumbuka miaka hiyo Ariel ilichana shati langu la shule, nililoweka kwa masaa kadhaa nakuja kutoa shati limechanika, nilizichukia.tumia sabuni ya areal kuroeka then ufue or tumia JIK
Nakumbuka miaka hiyo Ariel ilichana shati langu la shule, nililoweka kwa masaa kadhaa nakuja kutoa shati limechanika, nilizichukia.
Acha hizi za sasa hivi,basi shati ndio lilikuwa na shida,mimi nguo zangu zote nafua kwa kutumia Ariel naziloweka jioni then kesho yake asubuhi nafua na hazijawahi kupata tatizo, Ariel ni sabuni nzuri sana zamani nilikuwa natumia zile sabuni za unga za kupima zilinipaushia nguo
Acha hizi za sasa hivi,
Kuna hako kamjaa enzi hizo kalikua sio poa kwenye kutoa madoa sugu, lakini ukijichanganya ukapitisha masaa lazima ulie.
View attachment 1611476
Hapo inabidi uisamehe tu, hakuna jinsi.ooh,hapo sawa,ila hata sasa wapo vizuri japo mimi kuna suruali ina doa la kutu mpaka leo limegoma kutoka nishajaribu mno limegoma
Nakumbuka miaka hiyo Ariel ilichana shati langu la shule, nililoweka kwa masaa kadhaa nakuja kutoa shati limechanika, nilizichukia.