Naomba kuelekezwa jinsi ya kusajili gari huduma ya Bolt

mcute tu

Member
Dec 17, 2020
22
56
Habar zenu. Naomba namba ya simu ya mtu anaefahamu jinsi ya kujisajili kwenye huduma ya bolt. Au dereva ambaye tayar ana account ya bolt au uber
 
๐–๐š๐ญ๐š๐Ÿ๐ฎ๐ญ๐ž ๐›๐จ๐ฅ๐ญ ๐จ๐ง๐ฅ๐ข๐ง๐ž
 
Nimejaribu hii ni wiki ya tatu imeshindikana. Ndio maana nimekuja hapa kuomba msaada
 
Habar zenu. Naomba namba ya simu ya mtu anaefahamu jinsi ya kujisajili kwenye huduma ya bolt. Au dereva ambaye tayar ana account ya bolt au uber
nenda paly store kaka.andika bolt then uta instaall kisha jiunge kama kwenye blog yoyote ya kijamii.....insta..wasap na kadhalika fanya hvyo
 
Asante...nitafanya hvyo

Screenshot_20210714-080911_Google.jpg
 
Back
Top Bottom