Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,899
- 8,896
JF huwa mnatusaidia sana juu ya mambo ya IT hasa sisi ambao hatujawahi kusoma kompyuta. Mfano: Mimi nilijifunza humuhumu juu ya kuandika post kwa rangi mbalimbali, kuweka picha nk
Naomba kuelekezwa jinsi ya kulink post au thread ya mtu mwingine au ya kwangu na kuifanya ionekane kwenye post mpya.
Natanguliza shukrani!
Naomba kuelekezwa jinsi ya kulink post au thread ya mtu mwingine au ya kwangu na kuifanya ionekane kwenye post mpya.
Natanguliza shukrani!