Habari wanajamvi??!!!
Ni matumaini yangu kuwa lengo la mifuko ya hifadhi ya jamii ni Kudumisha ustawi wa jamii; kumwokoa mwanachama kutokana na hali ngumu ya kimaisha pale inapobidi kwa mfano mwanachama kuvunja mkataba wa Ajira na mwajiri wake kuacha/kuachishwa kazi nk; napenda kuuliza na kujuzwa na wajuz wetu wa sheria kwenye masuala haya kisheria ktk vipengele vifuatavyo:-
1: Ni yapi malengo ya mifuko ya hifadhi ya jamii kwa jamii husika mf NSSF?
2: Nani anastahili kunufaika na mafao ya mfuko NSSF?
3: Ni muda gani hutumika kushughulikia mafao ya mnufaika pale ofisi inapopelekewa ombi la madai ya Mafao mpaka malipo kuja kufanyika?
KARIBUNI
Sent using Jamii Forums mobile app