Naomba kirefu cha PHTS na PUTS? kuna tofauti yoyote kati ya scale hizi za mishahara?

majeshi 1981

JF-Expert Member
Dec 7, 2013
2,090
812
PUTS na PHTS zote ni salary scales za wahadhiri wa vyuo vya elimu ya juu hapa Tanzania. Naomba kujuzwa virefu vyake na tofauti ya malipo kwa wahadhiri wawili wenye rank sawa mfano; Junior Lecturer anayelipwa PUTS na mwingine rank hiyo hiyo anayelipwa PHTS.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom