majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
PUTS na PHTS zote ni salary scales za wahadhiri wa vyuo vya elimu ya juu hapa Tanzania. Naomba kujuzwa virefu vyake na tofauti ya malipo kwa wahadhiri wawili wenye rank sawa mfano; Junior Lecturer anayelipwa PUTS na mwingine rank hiyo hiyo anayelipwa PHTS.