naomba kazi!...

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,839
abarua.jpg
.......I am sirias! :(
 
Haupo siriaz Tanzanian boy:)
Lol! I'm a degree......
Hii job application letter imenichekesha sana!
 
wakati nikiwa shule ya msingi mwarabu aliulizwa WHAT DO U WANT TO BE ? AKASEMA I WANT TO BE A HELCOPTER -- VIJANA WETU LAZIMA WAFUNZWE SANA KUENDANA NA WAKATI WA SASA ILA KUWE NA USHINDANI SAWA WA AJIRA
 
wakati nikiwa shule ya msingi mwarabu aliulizwa WHAT DO U WANT TO BE ? AKASEMA I WANT TO BE A HELCOPTER -- VIJANA WETU LAZIMA WAFUNZWE SANA KUENDANA NA WAKATI WA SASA ILA KUWE NA USHINDANI SAWA WA AJIRA

Kwani ni lazima kuandika barua au kujieleza kwa kiingereza? Na kama hujui hiyo lugha vizuri kwa nini usitafute mtu akakusaidia?

Shida kubwa tuliyonayo kuanzia kwa viongozi wetu ni kutotaka kukubali kwamba kuna mambo hatuyajui! Kama unaamini kwamba hujui hiyo lugha ila una utaalamu wa kazi unayoomba basi omba kazi kwa lugha unayojua au tafuta msaada. Lakini sisi tunaendekeza ujinga na majidai kumbe ndio tunaonyesha tulivyo watu wa hovyo! Matokeo yake kiswahili hatujui na hicho kiingereza kinachotaka kututoa roho hatukijui pia. Mbaya zaidi hata lugha zetu za asili tumezipoteza. Si muda mrefu tutabaki yatima wa lugha!
 
Kama hiyo kazi ya mafriji na viyoyozi anaijua tatizo liko wapi ,kwani anaenda kutengeneza mafriji wingereza, angejiandikia tu barua yake kwa kiswahili.
 
Ni mfumo wetu wa ajira ndio unalazimisha maombi yote/mengi ya kazi yaandikwe kwa lugha ya kiingereza.Huyu muhusika alitakiwa aombe msaada kama anaona ana tatizo la lugha ya kigeni ambayo sio lugha mama.
Ila ujumbe umefika kwamba anataka kazi na ana sifa ya cheti toka VETA
 
Dah hiyo Title ya kazi aliyokuwa anaomba inatisha maana kama ukipata kazi hapo hao wahandisi nao watakuwa wale walee wakina Kihiyo!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom