Naomba kazi!

miriam 11

Member
Jan 19, 2017
29
17
Habari wana jamii forum
Polen na uchovu wa siku nzima

Mimi ni binti wa miaka 23.naomba anaeweza kunisaidia kazi yoyote ambayo itaniwezesha kuniongezea kipato na kujikwamua kimaisha

Naweza kuongea na kuandika vizuri kingereza na kiswahili.pia naweza kutumia computer basic application.

Secretary, front office, office assistant naweza .pia kama nkipata yoyote inayofanana na hiyo ntashukuru

Asanten
 
Hebu njoo PM kwanza, nahitaji Secretary
 
Hua sielewagi labda ama kutaka kuchezea mabint wa watu, ikiwa jinsia ya kiume anaomba kazi hukuti comment hata moja, zikiwa nyingi mbili ama tatu, lakin akija mwanamke comment nying za njoo PM sijui nini...!! Wewe binti kua makin humu mna watu wana uchu tu wa ngono
Wenye nia ya kukusaidia watakua wachache sana tena wa kuhesabu, na katika hao wachache kuna ambao wataomba something in return. I have say my own oooh'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom