Naomba kazi

iGodmanhustler

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
609
339
Nina 3years experience, B.com Finance banking!! Niko Dar.

Mshaahara sio big deal we can negotiate to your terms.

Experience ni sales/stock controller na contributions officer.

Nimefanya kazi private 2 years na mwaka mmoja kwenye government.

Pia ni student wa MBA -CM nina graduate 2016
 
Nina 3years experience..B.com Finance banking!! Niko Dar..Mshaahara sio big deal we can negotiate to your terms..Experience ni sales/stock controller na contributions officer..nimefanya kazi private 2 years na mwaka mmoja kwenye government..Pia ni student wa MBA -CM nina graduate 2016
Hawa ndio waliokuwa wanawacheka BAED vyuoni nakuwaona wenzao wamepotea njia..mtaisoma number hakuna kazi ckuhz nenda kajiajiri
 
Back
Top Bottom