Naomba kazi ya kuuza duka la vifaa vya electronic.

Janemo

Senior Member
Aug 17, 2016
106
38
Habarini ndugu wana JF mimi ni binti, umri miaka 24, mkazi wa tabata mwananchi, mkoa ni Dar es salaam nafuta kazi yoyote iliyo halali.

Hususani, za kuuza duka la nguo, simu, vifaa ya electronic, hardware Supermarket, pia kufanya kaz kama store keeper, stationary, zote hiz naziweza kikamilifu, kwa mwenye uhitaji naomba tuwasiliane kwa 0673216816
Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini ndugu wana JF
Mimi ni binti, umri miaka 24, mkazi wa tabata mwananchi, mkoa ni Dar es salaam
Nafuta kazi yoyote iliyo halali
Hususani, za kuuza duka la nguo, sim, vifaa ya electronic, hardware
Supermarket, pia kufanya kaz kama store keeper, stationary, zote hiz naziweza kikamilifu, kwa mwenye uhitaji naomba tuwasiliane kwa 0673216816
Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
pich tafadhali, kwa ajili ya Joseverest tu
 
Habarini ndugu wana JF
Mimi ni binti, umri miaka 24, mkazi wa tabata mwananchi, mkoa ni Dar es salaam
Nafuta kazi yoyote iliyo halali
Hususani, za kuuza duka la nguo, sim, vifaa ya electronic, hardware
Supermarket, pia kufanya kaz kama store keeper, stationary, zote hiz naziweza kikamilifu, kwa mwenye uhitaji naomba tuwasiliane kwa 0673216816
Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyoo
 
Back
Top Bottom