Naomba kazi ya kusupply bidhaa kwa pikipiki

dancher

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
205
243
Habari ya kazi samahani wakuu naomba nafasi ya kazi ya kusambaza bidhaa mbali mbali kwa wateja kupitia usafiri wa piki piki . Yeyote atakaye kuwa interested au ana mtu anaye tafuta mtu wa supply ningependa Ani link nae
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu chini ya shahada ya maendeleo ya vijijini kutokea sua kwa Sasa napatikana Dar es salaam Temeke
Napatikana kwa namba hii
0689378887
Tafadhali naombeni msaada katika hilo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom