Naomba kazi ya kufanya

Asante mkuu. juzi baada ya kumpa jamaa 50k mimi nimeingiza mil. 1 ambayo haipo kwenye hesabu. Mungu ni Mwema
Mungu akuzidishie kaka japo saivi nashukuru Mambo yanaenda japo sijapata kazi ya kudumu ila nafanya kazi ya mauzo dstv mambo sio mabaya sana....ila nashukuru sana kwani ulinisaidia kipindi kigumu sana na mungu akuongezee zaidi, kwangu mim sina mengi zaidi ya kusema nashukuru sana kwa msaada wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom