Naomba kazi ya jikoni au lodge ama yoyote ile iliyopo

PRINCEBOY

Member
Apr 23, 2014
73
52
Habari ya leo wakuu?

Mimi ni kijana mwenye miaka 25, naishi mkoa wa Mbeya,elimu yangu ni kidato cha nne, naomba mwenye kazi yoyote kama kichwa cha habari nilivyo andika anisaidie, nna uzoefu mzuri katika kazi za jikoni kwa upishi wa vyakula mbalimbali ikiwa ni pamoja na chips, nyama choma na mengineyo, hapo na usafi wa jikoni unahusika pamoja na vyombo, pia nna uwezo wa kufanya kazi za Lodge katika usafi wa kila aina

Mapokezi na pia hata usimamizi mzuri wa Lodge yako uwezo nnao maana najua good custotomer care/business language inahusika sana,special promotion kwa wateja wetu,kuwafanyia wateja wetu wanacho taka ili tuweze kuwa na wateja wakudumu na kuwapata wapya watakao vutiwa na huduma zetu nakuwafanya waendelee kuwa wetu,pia nna uzoefu katika kazi za mauzo nikiwa kama normal distributor ama Team Leader/sales supervisor, nna kanuni hatua mbalimbali za mauzo zitakazo niwezesha kuwa na Marketing Chanel/sales team kubwa na imara na inayo fanya mauzo mengi kwa mwezi nikiwa kama

Team Leader/sales supervisor au kupata wateja wengi kupitia kanuni na zile hatua za mauzo ambapo ntaweza kuwa na utangulizi mzuri utakao muwezesha mteja kuendelea kunisikiliza mpaka ununuzi wa bidhaa yangu,pia nna uzoefu katika kazi inayo husika na Real Estate ambapo hapa nilihusika sana kama project manager kwa kampuni ambayo ilikuwa changa,tuliweza kuwekeza kwa vitu ambavyo viliisaidia kampuni yetu kukua na kufika mbali ila kwa bahati mbaya ilifungiwa kwa vigezo vya kusema hatikuwa na kibari cha mradi,pia nna uzoefu katika kazi ya kufanya mahesabu na kuhakiki mauzo au biashara yoyote ile.

Nashukuru kwa wewe uliye soma thread yangu ubarikiwe.
Mawasiliano yangu ni 0758741531 au WhatsApp 0625711709
 
We kwel kichwa maji yani lodge unataka kuwa nawatejaa wakudumu???huon hao ni wateja wa shot time au,,,any way na lodge yang njoo ufueee shahawaa xa binadam wwnzako
 
Sio vizuri mkuu kwa ulichokiandika hapa kwenye hadhira,najua binadamu hatujakamilika ila itapendeza ufute ulichokiandika na kuomba radhi.UNAE MDHARAU LEO NDO KESHO YAKO ATAKUSAIDIA.Acha dharau na kejeli chafu
Ona aibu!!!!Shame,
 
Habari ya leo wakuu?

Mimi ni kijana mwenye miaka 25, naishi mkoa wa Mbeya,elimu yangu ni kidato cha nne, naomba mwenye kazi yoyote kama kichwa cha habari nilivyo andika anisaidie, nna uzoefu mzuri katika kazi za jikoni kwa upishi wa vyakula mbalimbali ikiwa ni pamoja na chips, nyama choma na mengineyo, hapo na usafi wa jikoni unahusika pamoja na vyombo, pia nna uwezo wa kufanya kazi za Lodge katika usafi wa kila aina

Mapokezi na pia hata usimamizi mzuri wa Lodge yako uwezo nnao maana najua good custotomer care/business language inahusika sana,special promotion kwa wateja wetu,kuwafanyia wateja wetu wanacho taka ili tuweze kuwa na wateja wakudumu na kuwapata wapya watakao vutiwa na huduma zetu nakuwafanya waendelee kuwa wetu,pia nna uzoefu katika kazi za mauzo nikiwa kama normal distributor ama Team Leader/sales supervisor, nna kanuni hatua mbalimbali za mauzo zitakazo niwezesha kuwa na Marketing Chanel/sales team kubwa na imara na inayo fanya mauzo mengi kwa mwezi nikiwa kama

Team Leader/sales supervisor au kupata wateja wengi kupitia kanuni na zile hatua za mauzo ambapo ntaweza kuwa na utangulizi mzuri utakao muwezesha mteja kuendelea kunisikiliza mpaka ununuzi wa bidhaa yangu,pia nna uzoefu katika kazi inayo husika na Real Estate ambapo hapa nilihusika sana kama project manager kwa kampuni ambayo ilikuwa changa,tuliweza kuwekeza kwa vitu ambavyo viliisaidia kampuni yetu kukua na kufika mbali ila kwa bahati mbaya ilifungiwa kwa vigezo vya kusema hatikuwa na kibari cha mradi,pia nna uzoefu katika kazi ya kufanya mahesabu na kuhakiki mauzo au biashara yoyote ile.

Nashukuru kwa wewe uliye soma thread yangu ubarikiwe.
Mawasiliano yangu ni 0758741531 au WhatsApp 0625711709
Usiwaze mkuu,wanakuja...your very bright

Nimekuelewa
 
We kwel kichwa maji yani lodge unataka kuwa nawatejaa wakudumu???huon hao ni wateja wa shot time au,,,any way na lodge yang njoo ufueee shahawaa xa binadam wwnzako
Kama kuna sehemu umeona inabidi airekebishe si umwambie tu vzr lkn siyo matusi na kejeli aisee na siyo vzr kama huna jinsi ya kumsaidia pita kimya siyo lazima kucomment, walioelewa maelezo yake watamtafuta
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom