Naomba kazi Wakuu wangu mwenye connection

La Quica

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
916
2,040
Habari ya leo wakuu. Natumai mko salama.

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu ninaomba yoyote mwenyewe kuweza kunisaidia kupata ajira hata Internship kwa kuanzia anisaidie hali ni ngumu mtaani, kazi na apply kila mara lakini sipati, hata nikiitwa kwenye interviews huwa nasubiri simu ya kuambiwa ni report kazini lakini wapi.

Qualifications zangu ni Bachelor Degree in Human Resources Management. GPA 3.7, nipo vizuri katika computer applications mbali mbali kama ArcMap, AutoCAD, MapSource (hizi japo sijasomea ila nilipata uzoefu wakati fulani nikiwa nafanya kazi temporary kwenye kampuni fulani) , Microsoft Office yote. Pia nina leseni ya udereva.

Nipo flexible kufanya kazi yoyote sio lazima ya profession yangu na ni fast learner.

Naomba tusaidiane wakuu. Natanguliza shukrani.
 
Kama unafahamu kutumia autocad jaribu kutafuta jobs kwenye freelance platform kama upwork.

Ziangalie kazi za autocad zinazopostiwa upwork kama unazimudu.
 
""Nipo flexible kufanya kazi yoyote sio lazima ya profession yangu na ni fast learner.""

Kuna mwenzako aliomba Kazi akapewa Kazi ya kuuza chipsi.
Ila mwisho akafanya masanga.

Na aliomba humuhumu JF.

Vijana HATUAMINIKI.

#YNWA
 
Kama unafahamu kutumia autocad jaribu kutafuta jobs kwenye freelance platform kama upwork.

Ziangalie kazi za autocad zinazopostiwa upwork kama unazimudu.
Kama zipo nyingne kama hizi mkuu ,ziwasilishe pia.
 
Habari ya leo wakuu. Natumai mko salama.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu ninaomba yoyote mwenyewe kuweza kunisaidia kupata ajira hata Internship kwa kuanzia anisaidie hali ni ngumu mtaani, kazi na apply kila mara lakini sipati, hata nikiitwa kwenye interviews huwa nasubiri simu ya kuambiwa ni report kazini lakini wapi.

Qualifications zangu ni Bachelor Degree in Human Resources Management. GPA 3.7, nipo vizuri katika computer applications mbali mbali kama ArcMap, AutoCAD, MapSource (hizi japo sijasomea ila nilipata uzoefu wakati fulani nikiwa nafanya kazi temporary kwenye kampuni fulani) , Microsoft Office yote. Pia nina leseni ya udereva.

Nipo flexible kufanya kazi yoyote sio lazima ya profession yangu na ni fast learner.

Naomba tusaidiane wakuu. Natanguliza shukrani.
Tuma CV Yako katika email hii recruitment@evolvepeople.co.tz position HR GRADUATE TRAINEE
 
Kama unafahamu kutumia autocad jaribu kutafuta jobs kwenye freelance platform kama upwork.

Ziangalie kazi za autocad zinazopostiwa upwork kama unazimudu.
Sawa mkuu ngoja niangalie
 
Sawa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom