Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia chuo chochote Duniani ambacho kinatoa free degree online

mahirtwahir

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
613
311
Habari waungwana.

Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia chuo chochote Duniani ambacho kinatoa free degree online na certificate naomba anisaidie address yake nahitaji kusoma ila mfukoni pesa mtihani.

Natanguliza shukrank
 
kama ni computer science kuna hiki university of people..... University of the People: Tuition-Free, Accredited Online Degree Programs
kuna kimoja kinatoa diploma ya occupational safety cha german ni free ni online pia
University of the people
Sent using Jamii Forums mobile app
je unataka kusomea nini tuanzie hapo
Jukwaa hili lina wajuvi wa mambo nilipita nione kama kuna alieweka hiki chuo-na wawili wamefanya hivyo. Niwape kongole. JF Elimu iko juu.
 
Habari waungwana.

Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia chuo chochote Duniani ambacho kinatoa free degree online na certificate naomba anisaidie address yake nahitaji kusoma ila mfukoni pesa mtihani.

Natanguliza shukrank
YouTube me ndiyo naona ndiyo chuo bora
 
Hao university of the people sio bure kabisa japo wana mitaala mizuri na ni nafuu.
Kuna gharama kama usd 60 kwa usajili.
Pia unalipa usd 100 kwa kila mtihani unaofanya kulingana na bachelor uliyoichagua.

Kama lengo ni kupata tu elimu na kuongeza maarifa, kuna hizi sites wanatoa kozi mbali mbali.

www.edx.org
www.coursera.org
www.udacity.com
www.alison.com

Ukiwa na internet na ukajua kuitumia vizuri ni zaidi ya chuo kikuu.

Kupata chuo cha bure kabisa yaani bure inaweza kuwa ngumu lakini unaweza kuomba msaada wa ufadhili kwa vile vyenye gharama nafuu.

Pia open university yetu watu wanaidharau wanasahau ukishahitim una sifa kama ya mwingine kuwa una degree.

Nikutakie kila la kheri.
 
hiki UNIVERSITY OF THE PEOPLE kinatambulika na TCU?
 
Kuna mwanafunzi Mtanzania alipata scholarship Marekani lakini aliambiwa alipie malazi na chakula. Hakuwa na uwezo kabisa lectures walifikiria jinsi ya kumsaidia. Alipata kazi library. Ilibidi awe anarudisha vitabu kwenye shelves jioni na weekends.
 
Hilo sijawahi kufuatilia mkuu, nnachojua UoPeople ni kinatambulika USA. Unaweza kufuatilia TCU mkuu.
Nimejaribu kufuatilia TCU nimekuta chain ya namna hii mpaka kuifikia UoPeople...ni kwamba TCU wamelist wanaitambua US Department of education ambayo inaitambua Distance Education Accrediting Commission (DEAC) Ambayo ndio inaitambua University of the people.. He hapo tunaweza kufanya conclusion kwamba moja kwa moja TCU wanaitambua UoPeople?
 
Inategemea na malengo yako ya kusoma elimu ya juu mkuu, ikiwa unalenga ajira au kujiendeleza kielimu. Tafiti utambulikaji wa chuo husika kabla ya kujiunga nacho.

Kila chuo, taasisi wanavigezo vyao vya namna ya kutambua ubora wa chuo.
 
Hao university of the people sio bure kabisa japo wana mitaala mizuri na ni nafuu.
Kuna gharama kama usd 60 kwa usajili.
Pia unalipa usd 100 kwa kila mtihani unaofanya kulingana na bachelor uliyoichagua.

Kama lengo ni kupata tu elimu na kuongeza maarifa, kuna hizi sites wanatoa kozi mbali mbali.

www.edx.org
www.coursera.org
www.udacity.com
www.alison.com

Ukiwa na internet na ukajua kuitumia vizuri ni zaidi ya chuo kikuu.

Kupata chuo cha bure kabisa yaani bure inaweza kuwa ngumu lakini unaweza kuomba msaada wa ufadhili kwa vile vyenye gharama nafuu.

Pia open university yetu watu wanaidharau wanasahau ukishahitim una sifa kama ya mwingine kuwa una degree.

Nikutakie kila la kheri.
Ahsante
 
Back
Top Bottom