Naomba jujua uhusiano wa Zakia na JK make mengi yanasemwa

Batale

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,148
555
Wana JF naomba wenye uelewa sahihi wa uhusiano wa JK na mama Zakia make nijuavyo mimi kisiasa yule mama hana jipya la kutusaidia watanzania wala CCM, lakini ninachojiuliza ni namna alivyomteua mapema kuwa mbunge ilihari alishapewa nafasi akapwaya? yawezekana kamteua mapema ili awahi uteuzi wa uwaziri lakini wizara ya fedha alitia aibu nafikiri sote tunakumbuka kauli yake mweyewe akiyoitoa kuwa alipotoshwa kwenye scandle ya EPA. Je ni kweli kuna uhusiano zaidi ya ule wa kisiasa nyuma ya pazia?
 
huyu mama alitetea kagod ilipochota pesa kutumika kwenye kampen kumuweka madarakan kipind kile
 
wana jf naomba wenye uelewa sahihi wa uhusiano wa jk na mama zakia make nijuavyo mimi kisiasa yule mama hana jipya la kutusaidia watanzania wala ccm, lakini ninachojiuliza ni namna alivyomteua mapema kuwa mbunge ilihari alishapewa nafasi akapwaya? Yawezekana kamteua mapema ili awahi uteuzi wa uwaziri lakini wizara ya fedha alitia aibu nafikiri sote tunakumbuka kauli yake mweyewe akiyoitoa kuwa alipotoshwa kwenye scandle ya epa. Je ni kweli kuna uhusiano zaidi ya ule wa kisiasa nyuma ya pazia?

jk ameoa mtoto wa kwanza wa zakia
 
Sure, JK tanzania nzima ana watoto kama utitiri, mkwere huyu kwa kifimbo cheza ni balaa. Ni kweli Juzi kati akiwa kakalia kiti alimuoa mtoto wa Megji kwa siri kwa kisingizio cha dini, na mama megji ni kitu cha RA, upo hapoooo!!
CCM ni wachafu kuliko uchafu unaoujua kwamba ni uchafu, tuamke jamani tutafute mabadiliko kwa kasho wandugu nchi inaliwa kinominomi!!! kalagabaho!!:redfaces:
 
Mimi nadhani hakuna haja ya kujiuliza sana, nafasi kumi za kikatiba alizonazo mhe. rais ni za kumsaidia yeye pale anapodhani kuna umuhimu, kwa lugha nyepesi sidhani kama amemteua Meghji ili ampe uwaziri bali awe mshauri wake na pengine utashanga zaidi atakapomteua Mhe Kingunge. Waswahili wanasema, "unaposema wa nini,mwenzako anasema atampata lini" Pengine wewe huoni faida ya Meghji na Kingunge lakini Mhe. Rais bado anahitaji angalau ushauri wao.

Vijana ni muhimu kupewa nafasi lakini ni muhimu kuwa na wazee kwa karibu zaidi hasa tukiona yaliyotokea miaka mitano iliyopita. Naomba kuwasilisha.
 
Mama Mkwe
Mungi nakupa 100% na ile picha ya jana ya beyonce ni kama vile binti niliyekuwa nae pale MuccoBs 1984 (USHIRIKA MOSHI) MAMA akiwa Alliance, nimeogopa maana nimescreen kiatu si chake ila shati jeupe sasa naanza badilika hebu wachangie wengine
 
Zakhia ni mamkwe wa jakaya

hilo halina kupingwa!!!

Umesahau usemiu usemao lisemwalo lipo kama halipo lina..........
 
Mimi nadhani hakuna haja ya kujiuliza sana, nafasi kumi za kikatiba alizonazo mhe. rais ni za kumsaidia yeye pale anapodhani kuna umuhimu, kwa lugha nyepesi sidhani kama amemteua Meghji ili ampe uwaziri bali awe mshauri wake na pengine utashanga zaidi atakapomteua Mhe Kingunge. Waswahili wanasema, "unaposema wa nini,mwenzako anasema atampata lini" Pengine wewe huoni faida ya Meghji na Kingunge lakini Mhe. Rais bado anahitaji angalau ushauri wao.

Vijana ni muhimu kupewa nafasi lakini ni muhimu kuwa na wazee kwa karibu zaidi hasa tukiona yaliyotokea miaka mitano iliyopita. Naomba kuwasilisha.

Huyu lazima ni kada wa Sisiem
 
Ni kweli ma mkwe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!we vipi mbona huelewi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sure, JK tanzania nzima ana watoto kama utitiri, mkwere huyu kwa kifimbo cheza ni balaa. Ni kweli Juzi kati akiwa kakalia kiti alimuoa mtoto wa Megji kwa siri kwa kisingizio cha dini, na mama megji ni kitu cha RA, upo hapoooo!!
CCM ni wachafu kuliko uchafu unaoujua kwamba ni uchafu, tuamke jamani tutafute mabadiliko kwa kasho wandugu nchi inaliwa kinominomi!!! kalagabaho!!:redfaces:

Mtoto yupi wa Mengji kaolewa na JK ?, nawajua watoto watatu, mmoja wa kiume, kuna yule mkubwa Jamilah alisha olewaga , halafu Salama , Salama kaolewa na mtoto wa Waitara , yule Mkubwa jamilah kaolewa muda zaidi, halafu kuna huyu Mvulana, sasa yupi huyo kaolewa na JK kama sio udaku?
 
Wadau nasikia jamaa kibingwa anakamua mzigo,bt ni taarifa zisizolasimi huku kitaa wanasema,wahenga wanasema,' lisemwalo lipo,....'
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom