Wana JF naomba wenye uelewa sahihi wa uhusiano wa JK na mama Zakia make nijuavyo mimi kisiasa yule mama hana jipya la kutusaidia watanzania wala CCM, lakini ninachojiuliza ni namna alivyomteua mapema kuwa mbunge ilihari alishapewa nafasi akapwaya? yawezekana kamteua mapema ili awahi uteuzi wa uwaziri lakini wizara ya fedha alitia aibu nafikiri sote tunakumbuka kauli yake mweyewe akiyoitoa kuwa alipotoshwa kwenye scandle ya EPA. Je ni kweli kuna uhusiano zaidi ya ule wa kisiasa nyuma ya pazia?