Naomba jibu?????

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,322
attachment.php

Jamani kwa wale mlio katika ndoa na wote wawili mnafanya kazi.

Mnafanyaje katika kuchangia budget ya familia yenu na kutatua matatizo ya familia zenu mliko toka bila upande mmoja kulalamika au kujihisi upande mmoja ndo unapendelewa. Samahani familia zenu mliko toka hazihusiki sana lakini kwa mazingira mengi ya Tanzania bado zinahitaji msaada kutoka pande zote mbili.

Kuna wengine eti kwa kuwa katoa mahali basi mwanamke haruhusiwi kujihusiha na familia yake aliko toka. Na je nalo hili lipoje.
 
mwanaume unatakiwa usaidie sehemu zote mwanamke anaweza kuweka hina kwenda saloon ....period
 
Mie wote tunafanya kazi na kuna mtoto pia.Nalipia kodi ya nyumba bi mkubwa analipia bili ndogo ndogo kama umeme,chakula na vitu vya ndani vidogo vidogo vinavyohitajika.
 
mwanaume unatakiwa usaidie sehemu zote mwanamnke weka hina nenda saloon ....period

Naona wameshoboka kuifagilia hili lakini ukienda kwenye mambo mengine wanataka 50/50 be carefully:A S-alert1:
 
Wekeni joint account, which will cover your common household expense. This exclude the pink and blue side expenses, the sharing depend on the income of each partner. Ikiwa expenses za nyumbani ni laki 2, sio kila mmoja alipe laki, hapana the one who earns more takes bigger chunks.Personally, I believe a man should take the bigger portion eventhough is earning less, hii itakupa heshima nyumbani and traditionally mume is the provider. Otherwise, utaitwa mwanamme suruali
 
Wekeni joint account, which will cover your common household expense. This exclude the pink and blue side expenses, the sharing depend on the income of each partner. Ikiwa expenses za nyumbani ni laki 2, sio kila mmoja alipe laki, hapana the one who earns more takes bigger chunks.Personally, I believe a man should take the bigger portion eventhough is earning less, hii itakupa heshima nyumbani and traditionally mume is the provider. Otherwise, utaitwa mwanamme suruali[/QUOTE]

MADAME X, HAPO BADO SIJAKUELEWA. KWANINI MUME ACHUKUE THE BIG PORTION??. NI KWELI INWEZEKANA NI HESHIMA KWAKE LAKINI SIDHANI SANA. TUELEZE VIZURI.
 
wanawake wengi nadhani wanawish waolewe na mtu kama wewe....lol,:teeth::embarrassed:

Sasa pauline , kipato chako, kikae kibindoni bila kazi. Naamini wanaume hawata penda waoe mwanamke mwenye wazo kama lako
 
maisha yamebadilika sio kama zamani,wanawake nao siku hizi wana kazi nzuri tena wana kipato kizuri zaidi ya waume zao wako wengi,maisha ni kusaidiana kama wife wako anakipato kikubwa zaidi yako nae mchango wake unatakiwa uwe juu kwani nao wanaweza hili la kusema utakuwa mwanaume suruari ni kulipuuza kwani we ni mme wake tu na cha msingi una mkandamiza(i mean unampa tamtam) akinunua gari tumia tu we ni mme wake tu lakini hili haliwahusu ambao hawajaoana
 
hapo umesema!!1
 
Kuna familia ya rafiki yangu mama ndio anatoa hela ya msosi, shule, umeme na vitu vidogo vidogo vya nyumbani.
Baba yeye ni kununua assets tu.
Mama anaumia lakini akiangalia mumewe anafanya mambo makubwa na ya gharama inabidi awe mpole.
 
Wekeni joint account, which will cover your common household expense. This exclude the pink and blue side expenses, the sharing depend on the income of each partner. Ikiwa expenses za nyumbani ni laki 2, sio kila mmoja alipe laki, hapana the one who earns more takes bigger chunks.Personally, I believe a man should take the bigger portion eventhough is earning less, hii itakupa heshima nyumbani and traditionally mume is the provider. Otherwise, utaitwa mwanamme suruali

yeah,
I like it madame,
Its so rational!,
 
Back
Top Bottom