naomba jibu:ni sahihi kukatwa NSSF KATIKA PROBATION PERIOD MIEZI 3???

muhandu

JF-Expert Member
Sep 25, 2011
311
82
nimepata nafasi ya kufundisha shule fulani nimeambiwa kuwawatakuwa wanakata 20000 ya nssf makubaliano ni laki mbili kwa mwezi je ni sahihi?
 
Ndio wapo sahihi, michango ya nssf ni asilimia 20 ya mshahara wa mtumishi ambapo mtumishi yeye atachangia asilimia10 na muajiri naye anachangia asilimia 10 ya mshahara kila mwezi.
Hivyo basi asilimia 10 ya 200000 ni 20000
 
Ni halali kama utakuwa umejaza form za kujiunga na hiyo nssf. Vilevile, kama ndiyo, hayo makato ya nssf yanatakiwa yawe yameonyeshwa kwenye salary slip yako. What I mean ni kwamba ukishachukua mshahara wa kwanza omba na salary slip yako then ucheck. Wakikubiga danadana, elewa unaliwa si unaelewa bongo watu wanakaba mpaka penalt!!
 
Huwez katwa nssf kwenye probation period,na especially pale hujapata usajil wa nssf,wambie wakikupa mkataba ndo utachangia.
 
wahuni hao ulijiunga lini na nssf? unless ujiunge na kwene salaryslip ioneshwe kunamakato waajir wengi wanakula pesa ya miezi ya mwanzo hata kabla hujajiunga. hiyo utakuja kuiona cku unafatilia pesa yako nssf unakuta miezi 3 hawakulipa kitu.
 
Wapo sawa kama umejaza fomu ya nssf. Ili kuhakiki subiria risiti ya mshahara wako. Probation iskutishe nikipindi cha mpito kwa mujibu wa sheria. Ila kifupi umeshaajiriwa.
 
Back
Top Bottom