Naomba jibu la swali hili wadau

Shabdullah

Member
Feb 17, 2020
65
52
Naomba jibu la swali hili wadau
IMG-20200219-WA0008.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oya nyie wote mmenicopy...credit the source
45
5 + 8 = ?
= (5 x 8) + 5
= 40 + 5
= 45
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ
1+4=5
2+5 +(5)=12
3+6+(12)=21
4+7+(21)=32
5+8+(32)=45
Chukua eqn ya pili, jibu lake lijumlishe na aibu la eqn ya kwanza, eqn ya tatu jibu lake jumlisha na jibu la eqn ya pili and so on
Nani hajaelewa?
Jibu ni 45 kwasabab

1+4=5 or (1×4)+1=5
2+5=12. or (2×5)+2=12
3+6=21. or (3×6)+3=21

So
5+8=? or (5×8)+5= 45
 
Hesabati nmesoma pek angu na mtoa uzi....nyie mmesoma hisabati na hesabu
Ukiikumbuka siku uliyomaliza shule basi utajua kuwa wapo waliowahi kusoma kabla yako.

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ
 
1+4=5
2+5 +(5)=12
3+6+(12)=21
4+7+(21)=32
5+8+(32)=45
Chukua eqn ya pili, jibu lake lijumlishe na aibu la eqn ya kwanza, eqn ya tatu jibu lake jumlisha na jibu la eqn ya pili and so on
Nani hajaelewa?
Wee jamaa hiyo eqn ya 4+7 umeitoa wapi? Mbona kwenye picha ya mleta mada haipo?

Kizibo
 
Back
Top Bottom