Shabdullah
Member
- Feb 17, 2020
- 65
- 52
Sequence and series
Umejua kunichekesha njinjo.31 why 6x0=0, 6x1=6, 6x2=12, 6x3 =18
45
5 + 8 = ?
= (5 x 8) + 5
= 40 + 5
= 45
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ
1+4=5
2+5 +(5)=12
3+6+(12)=21
4+7+(21)=32
5+8+(32)=45
Chukua eqn ya pili, jibu lake lijumlishe na aibu la eqn ya kwanza, eqn ya tatu jibu lake jumlisha na jibu la eqn ya pili and so on
Nani hajaelewa?
Jibu ni 45 kwasabab
1+4=5 or (1×4)+1=5
2+5=12. or (2×5)+2=12
3+6=21. or (3×6)+3=21
So
5+8=? or (5×8)+5= 45
mkuu kwa heshima na taadhima naomba utoke hilo chaka uliloingia, jibu ni 45.
Kwakuwa hesabati umesoma peke yako au?Oya nyie wote mmenicopy...credit the source
Hesabati nmesoma pek angu na mtoa uzi....nyie mmesoma hisabati na hesabuKwakuwa hesabati umesoma peke yako au?
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ
Ukiikumbuka siku uliyomaliza shule basi utajua kuwa wapo waliowahi kusoma kabla yako.Hesabati nmesoma pek angu na mtoa uzi....nyie mmesoma hisabati na hesabu
Wee jamaa hiyo eqn ya 4+7 umeitoa wapi? Mbona kwenye picha ya mleta mada haipo?1+4=5
2+5 +(5)=12
3+6+(12)=21
4+7+(21)=32
5+8+(32)=45
Chukua eqn ya pili, jibu lake lijumlishe na aibu la eqn ya kwanza, eqn ya tatu jibu lake jumlisha na jibu la eqn ya pili and so on
Nani hajaelewa?
Hii 4 +7 = 321+4=5
2+5 +(5)=12
3+6+(12)=21
4+7+(21)=32
5+8+(32)=45
Chukua eqn ya pili, jibu lake lijumlishe na aibu la eqn ya kwanza, eqn ya tatu jibu lake jumlisha na jibu la eqn ya pili and so on
Nani hajaelewa?