SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,040
- 8,895
Nani huyo? Shemasi wa dunia?Kuna mtu kaji mwambafai kishenz kwenye huu uzi.
Dah JF is a jungle.
Nani huyo? Shemasi wa dunia?Kuna mtu kaji mwambafai kishenz kwenye huu uzi.
Dah JF is a jungle.
Yes,Toleo la Nyakabindi.
Kweli kabisa.Asihukumu..ahukumuye ni Mungu tu
HehehNani huyo? Shemasi wa dunia?
Hapana,kipindi hicho nilikuwa Dodoma, ninaishi miji hii miwili kwa wakati mmoja,naweza kuwa Moro miezi miwili, mitatu Dom.ndio aina ya maisha nayoishi.Nice... so hata mwez ule zilipokuja kwaya nyingi ulikuwepo?
Sawasawa...yeah hata mm naishi geita na hapaHapana,kipindi hicho nilikuwa Dodoma, ninaishi miji hii miwili kwa wakati mmoja,naweza kuwa Moro miezi miwili, mitatu Dom.ndio aina ya maisha nayoishi.
Huyo hapo nadhani atakuwa msabato jina
Kama anaijua kanuni ya wasabato wala asingejianika humu
Wasabato tuna utaratibu wa kusaidiana kiroho na kimwili kwa mgeni kutoka kona yoyote ya dunia
Cha msingi, awe na barua ya utambulisho kutoka kanisa lake mahalia, awe na cheti chake cha ubatizo kinachoonesha uwajibikaji wake ktk kanisa lake mahalia, barua iwe na namba ya karani wa kanisa namba ya shemasi mkuu, na namba ya kiongozi wake wa kikundi (darasa) anachojufunzia lesoni! Aje na vielelezo vyote hivyo avifikishe kwenye kanisa lolote la ki Adventist, hapo atasaidiwa kula, kulala, na nauli ya kumrudisha kwao atapewa! MALANATHA!
Sure mkuu..YESU ANAKUJAA😃Ungekuwa umetumia "R" badala ya "L" ungekuwa umekomelea kabisa.
MALANATHA => MARANATHA
Au nasema uongo ndugu zangu?
Your AvatarSawasawa...yeah hata mm naishi geita naour Avatar
Ok!Sawasawa...yeah hata mm naishi geita na hapa
Hatufokeani dada yangu ktk kristo, naribu kukuelewesha, ni huyali yako kuelewa or not!Iko hivi...kanisa kubwa liko kihonda..so area ya huku hakukua na kanisa .watu walikua wanasali kwa mtu tu tukachanga tukanunua kiwanja na kujenga kanisa.... tukajimega kule tukapata unafuuu kusali karibu .
2.march kulikua na semina dar ..ilikua inafanyikia hapo mbezi kwa msuguri ..mchungaj akateua muinjilist mmoja akawakilishe..sasa kasheshw likaanza katika kumchangia muinjilist kuanzia kula,malazi ..naandika haya nikuwa na akili timamu .hakukua na hela iliyotoka mfuko wowote ule .mhona mara kibao tu tunachangishwa hizo mambo?
Silitukani kanisa..naona unahemkwa mbarikiwa..naandika ninachojua ....usijifanye ww shemasi wa dunia
Kwahiyo huyu mchungaji anayesali hapa ni famba?point yako haswa iko wapi? Huamini tunachangishwa michqngo au? Kanisa gan halichangishi michango? Kwaya yenyeww ikienda huko kiegea tunachangishwa au mm ni kiziwi? Kwamba kila kongamano kanisa linakua na hela !! Unajua tuko wangap? Na unavyojua sababto wanaongoz kwa kongamano...au na efforts hairuhusiwi kuchangia?Hatufokeani dada yangu ktk kristo, naribu kukuelewesha, ni huyali yako kuelewa or not!
Kiuhalisia wewe bado unaonesha misingi ya ki Adventist haujaijua vyema.
Tafadhali endelea kujigunza.
Haya mkuuHapo nimeelewa. Maana yake wewe bado haujawa msabato hai. Hivyo usilaumu.
Ubarikiwe.
Yesu Anakuja!!Huyo hapo nadhani atakuwa msabato jina
Kama anaijua kanuni ya wasabato wala asingejianika humu
Wasabato tuna utaratibu wa kusaidiana kiroho na kimwili kwa mgeni kutoka kona yoyote ya dunia
Cha msingi, awe na barua ya utambulisho kutoka kanisa lake mahalia, awe na cheti chake cha ubatizo kinachoonesha uwajibikaji wake ktk kanisa lake mahalia, barua iwe na namba ya karani wa kanisa namba ya shemasi mkuu, na namba ya kiongozi wake wa kikundi (darasa) anachojufunzia lesoni! Aje na vielelezo vyote hivyo avifikishe kwenye kanisa lolote la ki Adventist, hapo atasaidiwa kula, kulala, na nauli ya kumrudisha kwao atapewa! MALANATHA!
Kwa hiyo Mimi ni Tapeli!!Ndio iko hivyo kuepuka matapeli na wezi kama hao wanaojiita wasabato kulitukanisha kanisa huku hata mlango wa kanisa hawaujui. Pia kwa muumini hai wa kanisa lolote hizo sio nyalaka ngumu. Maana kama cheti cha ubatizo unakuwa nacho mwenyewe tangu kubatizwa kwako. Hiyo barua unaenda kuchukua tu chap maana ww tayari kanisa linakutambua kupitia cheti chako cha ubatizo.
Easy mkuuDah niliweka jokes tu ndugu Yangu!!
Usinihukumu sisi sote watanzania