Nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga

Mnawezaje kuwa na hamu na singo maza ase? Mi nilijichanganya mara moja akaanza kumfundisha mtt wake aniite baba nlipambana had tukaachana na sitarudia tena kuwa na mahusiano na sjngo maza, wanaomba hela ya kuhudumia watt wao bila aibu kama wewe ndo baba yake mtoto.
Akili za kitoto hizi, kwamba single mother wote wana hali ngumu za kiuchumi? Si kweli wapo wengi tu wana kazi zao nzuri tu na wana biashara zao super tu, na wana jeuri ya kukufanya wewe kuwa sex toy yake na akakuhudumia vilevile shida zako ndogondogo.
 
Akili za kitoto hizi, kwamba single mother wote wana hali ngumu za kiuchumi? Si kweli wapo wengi tu wana kazi zao nzuri tu na wana biashara zao super tu, na wana jeuri ya kukufanya wewe kuwa sex toy yake na akakuhudumia vilevile shida zako ndogondogo.
Singo maza kwangu ni haramu
 
Wanawake wengi siku hz wanapiga mizinga na makombora Sana. Bora tulio owa na kukaa na huyo mmoja tu.

Mfano, ukichati na mchapuko... badae akakwambie kwa swali hivi " baby nikwambie kitu"? Ukikosea ukauliza niambie ni kitu gani baby? Ohooo mkuu utasikia bomu hiloooo. So akisema nikwambie kitu jibu sm imeisha charge badae baby..

Asubuh ukimtumia msg, za asubuh mpenz, akijibu mbaya,,, ohooo mkuu usimuulize mbaya kwa nn? Wee mjibu pole bila kuuliza nn maana ukiulkza utasikia bomu buuuuuuu!
 
Mnawezaje kuwa na hamu na singo maza ase? Mi nilijichanganya mara moja akaanza kumfundisha mtoto wake aniite baba nilipambana hadi tukaachana na sitarudia tena kuwa na mahusiano na singo maza, wanaomba hela ya kuhudumia watoto wao bila aibu kama wewe ndo baba yake mtoto.
Afu weekend anampelekea dyudyu baba Og..... kweli mtaraka hatongozwi!!!
 
Sema tu na ugumu wa kipato na tatizo la kutokuwa waaminifu. Ingekuwa mwanaume awe na girl friend mmoja hakuna haja ya kuombwa hela, ingekuwa tu ni wajibu wako kumtunza.
Sio wajibu kumtunza girlfriend, sijui nani kawadanganya kuwa girlfriend anatunzwa na boyfriend wake. Hivi wazazi wanakuwa wamesahau majukumu ya kumtunza binti yao?
 
Kwakweli nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga Yani unamtongoza Sasa hivi baada ya dk moja anaaanza kuomba hela ya kula au Kama Ana mtoto (singo maza) itaanza kusikia kesho nampeleka mtoto hospital Yani wanawake mnamaujinga mengi Sana mpaka mnatia kinyaaa. Acheni kuwa ombaomba uzeni hata ndizi mtaan...
Mkuu pendekeza wapi tukakujengee Mnara.
 
Aisee tutafanyaje tena inabidi tuwavumilie tuu kama wanavotuvumilia sisi, kumbuka wao ndio mama zetu na Dada zetu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Haina namna ila inabidi ujiulize kabla ya kumtokea wewe kabla ya hapo alikua anasurvive vipi?
Ndio utakuja gundua Kuna wajinga waligeuzwa fursa Sasa kakupata mjinga mwingine hivyo unakua kwenye list ya nyumbu zake

Wanaume na wavulana wa humu tuache ushamba Hawa viumbe wanatugeuza fursa na makondoo!

Wake up dude!
 
Back
Top Bottom