Naomba fursa ya kuonana na Pascal Mayala

Elius W Ndabila

JF-Expert Member
Jul 17, 2019
322
645
Ndugu yangu Pascal wa jf ninaomba nafasi ya kuonana na wewe. Nilianza kujifunza kuandika makala mwaka 2014 baada ya kuwa msomaji wa muda mrefu humu. Lakini nimekuwa impressed sana na uchambuzi wa Pascal ambaye ninatamani siku moja nionane naye ili niweze kumuuliza maswali kadhaa nami niweze kubobea kwenye tasinia hii ya kichambuzi.

Nitashukuru kama moderate utanisaidia kuutag ujumbe huu kwa Pascal.

Ndiimi
Elius Ndabila
 
Mkuu Elius W Ndabila , kwanza pole sana!, huwezi amini huu uzi ndio nimekutana nao leo, next time ukimtafuta mtu humu mtag.

Tutapanga kwa text 0754 270403.
Karibu.
P
 
Back
Top Bottom