uwa miss wengine wengine wakupe moyo binadamu bwana..Kutokana na habari zinazohusu ajari humu jamvini.jamani naomba dua zenu.nipo mtwara kikazi na kesho ndo narudi dar yan nimewamiss sana wanangu hasa hasa mama yao naomba dua zenu ili nifike salama na kuungana na family yangu